Wakati nikiwa katika misele mitaa ya ubungo darajani nimekutana na kioja ambapo babaji ilitoka mahali ilipokuwa imepaki na kuanza kutembea kwa kasi kuelekea barabarani. Hali hii ilizua tafrani Kubwa kwa kuwa eneo hilo lina watu wengi. Lakini kwa juhudi za watu waliokuwepo walifanikiwa kukamata na kuiongoza kwenye njia salama na hatimaye MTU kupanda na kuiongoza vena..tukio hilo limeacha watu wakiwa hawana mbavu....ni hayo tu wakuu...iddi njema