yathriba
Member
- Feb 7, 2011
- 35
- 6
habari zenu wapendwa,kuna bajaji yangu nauza aina ya TVZ king,ipo katika hali nzuri sababu ya kuuza ni kwamba mm nipo masomoni nje ya nchi kijana wangu (dreva wangu ananizungusha haleti hesabu kama tulivokubaliana kwa hio nimeamua bora niuze kuliko kuja kukosa yote.kwa maelezo zaidi just send text on this no. 0773496161.