Bajaji inauzwa

yathriba

Member
Feb 7, 2011
35
6
habari zenu wapendwa,kuna bajaji yangu nauza aina ya TVZ king,ipo katika hali nzuri sababu ya kuuza ni kwamba mm nipo masomoni nje ya nchi kijana wangu (dreva wangu ananizungusha haleti hesabu kama tulivokubaliana kwa hio nimeamua bora niuze kuliko kuja kukosa yote.kwa maelezo zaidi just send text on this no. 0773496161.
 
<br />
<br />
Uko wapi na unaiuza bei gani?
 
Usafiri.JPG

Ingekuwa bajaji kama hii pichani ningeichangamkia maana ina kila dalili ya kuniongezea kipato.
 
bei maelewano baada ya kuiona,unaweza kunitext kwenye hio no. hapo juu ile tufanye utaratibu wa kuiona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom