Swali lako ni La kiujumla sana, ni sawa na kuuliza "Ni simu gani nzuri jamani"!!!!!!!!!! Unahitaji baiskeli kwa ajili ya shughuli zipi?
Soma kwanza hapa: List of bicycle types - Wikipedia, the free encyclopedia ukishapata mwanga ndy ufanye decision.
Sharobalo said:Mkuu umenikumbusha mbali sana.. anyway from my personal knowledge
ni ile yenye
-Gear ili iwe rahisi kwenye milima
-Spring ya kati na sio ya kwenye kiti,full mneso
-Taa kali isiyotumia Dynamo yaani ya battery
-Helement kama ya fomular one bike ili traffic wasizingue
-Yenye kidumu cha maji kwa chini pale.
yaani fulu Sharobalo mtaani mademu wote wako..halafu una ride umetupia Ipod yako.haha dad i miss my old life aisee. sijui mkuu kama nimekujibu sawa
Mkuuu ksante sana mimi ni rafiki sana wa google na wikipedia. Nikweli siuweka wazi nipenda watu wanipe uzoefu wa au maoni yao mfano
- Mtu wa dar akitaka kununua baisieli kw ajili kwenda kazini au hatakw aajili ya ufanyia mazezi siku za weekend utamshauri nini au basikeli gani au duka gani na awe si pungufu ya kiasi gani.
- Mtu anataka kumnunulia basikeli ndugu yake yuko kijijini kwa shughuli za kijijini. So sometime inafanya kazi nzito. Au Kazi ya basieli kuwa kama taxi . Kama zipo za gear au zote anataka kujua ni baikseli gani itafaa na gharama yake kwa hapa bongo na duka lenye choice
Hiyo ya pili nunua Phoenix, Swala au Shang Shen! Kitu unakwea milima!
Dah Sharobalo umenichekesha!Mkuu umenikumbusha mbali sana.. anyway from my personal knowledge