Baiolojia ya kuzaliana ya senene na nzige ikoje?

chantete

Senior Member
Nov 18, 2014
115
76
Kuna kitu kinanitatiza ndugu zangu kuhusu viumbe vya mwenyezi mungu tunajua jinsi vinavyozaliana sasa msaada wangu kwa wataalamu nisaidieni hawa Nzige na Senene wanazaliwaje?

Kwani kuna kipindi huwa wanapotea kabisa then wanatokea wengi sana sasa sijui huwa wanakuwa wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom