Bail out: What does it mean? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bail out: What does it mean?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mtazamaji, Nov 24, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wachumi na wajuziwahii sekta naombwa kujuzwa kwa lugha nyepesi maana ya hili neno bailout

  Ireland nchi bayo ukisoma ni moja kati ya nchi zilizokuwa na uchumi mzuri zaidi ulaya kuliko hata England imekuwa bailedout.

  • Nini kimesababisha nchi hii kufikia katika hali hiyo?
  • Kwa nini tatizo hilo limetokea Ireland na sio Norway au Belgium?
  • Kwa nini Tanzania tusiombe kuwa bailed out?

  NB:
  Nimejaribu ku google na kuwikipedia tayari lakini sijaelewa hizi lugha za kichumi

  Nawasilisha
   
 2. m

  minye Member

  #2
  Nov 25, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Simple language; to help a person or an entity that is in difficulty.Mara nyingi hutumika katika masuala ya biashara, fedha na uchumi hasa pale zinapoonekana kufanya vibaya (usually by giving or lending them money). Mfano mzuri ni USA wakati wa financial crisis ambapo Obama alitoa fedha kwa ajili ya kuziokoa/kuzinusuru benki ambazo zilifanya vibaya katika biashara hasa mortgage. Kwa ujumla ni kunusuru.
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nadhani ungekuwa a bit specific "Economic Bailout"
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ok mkuu nimeelewa na nimesoma mifano naona mifano ya makampuni kama ulivyosema lakini kwneye vyombo vya habari naona wanasema nchi ndo imekuwa bailed out. Na ninavyojua wenzetu wanasema serikali zao hazijihusihi na biashara. Au kwa nn tanzania tusiombe na sisi hiyo bail out ?

  Powa mkuu ndo hivyo ukiingia anga usizoelewa makosa yapo .Kumbe kuna bailout za aina nyingi. Thanks kwa kunielimisha
   
Loading...