Bahresa tupe ufafanuzi kamili wa kuadimika maziwa yako

Indian

JF-Expert Member
Oct 27, 2012
821
708
Huku mitaani kuna maneno mengi, Mimi Kama mteja nzuri wa maziwa ya Bahresa nimesikitishwa sana kuadimika kwake. Kila duka ninalokwenda ninaambiwa kuna sitomfahamu kuhusu ulipaji wa kodi ya maziwa anayozalisha Bahresa kutoka Zanzibar.

Nimeulizia zaidi nikaambiwa unatakiwa ulipishwe kodi ambayo maziwa hayo unayoyaingiza kutoka Zanzibar.
Na wengine wanafika mbali kwa kusema wewe umekataa kulipia ushuru huo ambao Zanzibar unalipia Na huku Bara kwanini ulipishwe.

Kama mteja wako ili tuondokane Na usumbufu huu, tutangazie ili tujue umekwama wapi tuepukane Na maneno ya mitaani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom