Bahlul na harun kwenda kuoga pamoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bahlul na harun kwenda kuoga pamoja

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KABAVAKO, Sep 10, 2012.

 1. KABAVAKO

  KABAVAKO JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ilitokea siku moja Bahlul na Harun Rashid kukutana katika bafu. Khalifa alimfanyia mzaha kumwuliza Bahlul: "Je iwapo ningalikuwa mtumwa, ningalikuwa na thamani gani?" Bahlul alimjibu: "Dinar hamsini." Harun Rashid katika kughadhabika alisema: "Ewe Mwehu! itawezekanaje hivyo? Mavazi yangu tu yamezidi thamani hiyo!” Hapo Bahlul alimwambia: "Kwa hakika mimi nimesema kuwa hiyo ni thamani ya nguo zako tu ama Khalifa hana thamani yoyote!"
   
Loading...