Bahili kiboko!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,025
BAHILI;Ndizi moja sh.ngapi? MUUZAJI;Ndizi moja sh.100. BAHILI;Nipe kwa sh.60. MUUZAJI;Kwa sh.60 utapata maganda tu. BAHILI;Shika hii sh.40,nipe ndizi,hayo maganda ya sh.60 yatoe siyataki!
 
hah ahahahahahahahaha..................sipati picha muuzaji alijibu nini...daah............
 
BAHILI;Ndizi moja sh.ngapi? MUUZAJI;Ndizi moja sh.100. BAHILI;Nipe kwa sh.60. MUUZAJI;Kwa sh.60 utapata maganda tu. BAHILI;Shika hii sh.40,nipe ndizi,hayo maganda ya sh.60 yatoe siyataki!

Hahaha! hii imetulia...uyu atakuwa Mkinga tu.

BTW Wee Jagi mbn tumetorokana kule bila kulipana madeni..wenzako kina Wacha et al nimewaweka lokapu.
 
mh hii kiboko mbona hujatupa feedback ya muuzaji? kama hakujibu basi atakuwa alitumbua macho kama visahani.
 
Hahaha! hii imetulia...uyu atakuwa Mkinga tu.

BTW Wee Jagi mbn tumetorokana kule bila kulipana madeni..wenzako kina Wacha et al nimewaweka lokapu.
We acha tu mkuu Manda,ndo maana niko jukwaa hili kujisahaulisha machungu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom