Bahi, Dodoma: Treni iliyokuwa ikitoka Dar kuelekea bara imepata ajali. Majeruhi na vifo vyaripotiwa

Wanabodi,

Kuna taarifa kwamba treni toka Dar imepata ajali na mabehewa zaidi ya matano yameanguka na kujeruhi na kuua abiria wilayani Bahi mkoani Dodoma. Chanzo rasmi Bado ila inahusishwa na kuharibika daraja. Taarifa rasmi zitawajia.
 
Back
Top Bottom