Bahati nasibu ya taifa kuchezeshwa na computer ni sa?

HIMLER

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
429
217
Nimeangalia jinsi wanavyorafuta number ya za ushindi nimeona ni computer inazungusha fasta then kinatoka ki ball cha namba hapo hapo kwenye tv mimi naona sio sawa tutajuaje kama wana panga matokeo baada ya watu wakiwa wamesha nunua ticket ilitakiwa kuwe na mtu physical anapick then hapo inakua bahati nasibu sio hivi inavyochezeshwa
 
Hahahaaa hamna wachezeshe live halafu mtu a pick sio hii habari ya computer ni ujanja ujanja tu
 
Technology imekua mkuu,hiyo ya kupick ni njia ya kizamani na hamna udanganyifu kwenye hiyo computer...kuna technlogy inaitwa RNGs(random number generator)ndo inafanya kazi hiyo na wala hawana uwezo wa kupick number wanayotaka wao zaidi ya hiyo rng..pure random number
 
Hahahaaaa tutaaminijeee wakati program imetengenezwa na binaadam
 
Back
Top Bottom