Mtoto Bahati Cornel wa Umbwe primary school amepotea. Yupo Polisi Kawe

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,159
3,997
Mtoto Bahati S/o CORNEL, Mchaga, 8 yrs old, M/Funzi Umbwe primary school, Darasa la tano.

Mtoto huyu yupo hapa police Kawe ambapo alijieleza kuwa amepotea, alikuja jijini DSM akitokea mkoani Kilimanjaro ambako ndiko anakoishi na Baba yake Mzazi aitwae CORNEL JOSEPH MASAWE, ambae anafanya kazi Kiwanda cha COTEX UMBWE.

Mtoto huyo alifika DSM tarehe 05/07/2020 kwa gari za kudandia, tunaomba taarifa hizi zisambazwe kwenye groups zingine kwa msaada zaidi.

1594815613445.png
 
Bila shaka dogo alichoka kusubiri maana anaona wenzie wanakuja December kula sikukuu wanampa mastori ya mjini halafu January wanasepa wanamwacha peke yake.

Kila dogo mkoani anaiota Dar es salaam. Ila labda kwa akili yake ya kitoto kalidhani kakifika Dar ni maisha mazuri masikini!
 
Dogo anajua mpaka baba anapofanyia kazi? Huyo hajapotea amekuja kubadilisha menu. Amechoka ndizi maharage Kila uchao
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom