Bahasha yafunguliwa.kama ulihusika ungelifanya aje??...sio ya the hague.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bahasha yafunguliwa.kama ulihusika ungelifanya aje??...sio ya the hague..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by fundiaminy, Jul 20, 2009.

 1. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Basi baada ya mazishi ya msichana mmoja mrembo sana hapa mtaani,mc alitangaza kuwa bibie kabla aage alitoa bahasha ambayo ingesomwa wakati wa mazishi.basi ilibidi aifungue ile bahasha na kilichokuwa ndani wakuu msishangae.ni majina 25 ya vijana ambao waliwahi kufanya mapenzi na marehemu na kwa bahati nzuri ama mbaya ni ukimwi uliommaliza.je,kama jina lako lingekuepo cku hiyo ungelifanyaje???
   
 2. Amosam

  Amosam Senior Member

  #2
  Jul 21, 2009
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ningeeenda kupima, no way out!
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  nisingeenda kupima...ningechukulia poa tu kwani nini
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hakuna mwenye busara yeyote anayeweza soma hiyo bahasha ya mambo ya ki-ngono msibani.... labda wawe vichaa!!! kimila tumezoea kumsetiri marehemu hata kama alikufa kwa kufumaniwa au alikuwa jambazi!!
   
 5. GP

  GP JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135

  hii imekaa kijoke-joke, ingepelekwa huko kwenye utani. marehemu bana hata akiwa mtu mbaya tunamremba kwa maneno mazuri kama "marehemu alikua mtu mwema...", "marehemu ameacha pengo lisilozibika....." etc
   
 6. W

  WONDERWOMAN Member

  #6
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ningetulia na baada ya hapo ni usawa wa kupima,na kusubiri matokeo
  UKIPANDA MBEGU USIZOZIJUWA ,UTAVUNA MAVUNO USIYOYATARAJIA
   
 7. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
   
 8. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole sana Fundiaminy tumepokea ujumbe wako kwa masikitiko makubwa kusikia Mtanzania mwezetu umeliva jinamizi la ukimwi baada ya kufanya mapenzi na huyo Marehemu , ningekuomba usiendele kufanya mambukizo kwa wengine kwani hayo sio madili ya Mtanzania.
   
Loading...