google helper JF-Expert Member Jun 11, 2013 9,629 13,691 Sep 10, 2019 #3 ukisikia kusimamia kucha ndo huko sasa hapo show show, mpera mpera vululu vululu mwendo wa ngiri
carcinoma JF-Expert Member Mar 5, 2017 5,059 13,718 Sep 10, 2019 #4 Kama na MJ ni baharia basi najitoa chamani.. Bora niwe chama cha fundi maiko kuliko kuwa baharia pamoja na MJ
Kama na MJ ni baharia basi najitoa chamani.. Bora niwe chama cha fundi maiko kuliko kuwa baharia pamoja na MJ
FatherOfAllSnipers JF-Expert Member Mar 13, 2019 1,638 4,210 Sep 10, 2019 #5 carcinoma said: Kama na MJ ni baharia basi najitoa chamani.. Bora niwe chama cha fundi maiko kuliko kuwa baharia pamoja na MJ Click to expand... teh teh, maisha haya hayaishi vituko.
carcinoma said: Kama na MJ ni baharia basi najitoa chamani.. Bora niwe chama cha fundi maiko kuliko kuwa baharia pamoja na MJ Click to expand... teh teh, maisha haya hayaishi vituko.
SK2016 JF-Expert Member Apr 6, 2017 7,971 13,662 Sep 10, 2019 #6 Boss mkubwa na tajiri a.k.a Billionaire unamfananisha na Baharia!? Hiyo ni level nyingine, tena ya juu.
Boss mkubwa na tajiri a.k.a Billionaire unamfananisha na Baharia!? Hiyo ni level nyingine, tena ya juu.
Unforgettable JF-Expert Member Aug 1, 2019 5,257 11,723 Sep 10, 2019 #8 kazi kwenu mabaharia Cc Kingsmann