Baharia epuka kisukari

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
3,803
8,794
Hili ni gonjwa baya sana tena sana bora bahari upate matatizo mengine lakini mpigo uwe na uhai la sivyo utajuta hasa uwe na mke.

Mtaani kwangu kuna aibu zinaibuka kila uchwao hivi nyumba aliyeweka kuta za nyumba alikuwa na akili na busara nyingi. Wanaume wanavaa na kupendeza usiku mpingo hauna kazi.

Baharia mwenzangu kaa mbali na sukari. Hizi gym zinajaa watu wanaogopa sugar. Nina rafiki yangu akilala anaiwekea mkono kuilinda. Ama anakula kwa macho.
 
Siyo kisukari tu. Na lehemu (cholesterol) pia. Ikigandamana kwenye vimishipa vya damu huko kichwani mtu unapata shoti unakuwa kama kinyago. Kuanzia miaka 35 baharia inabidi kuwa makini sana. Mazoezi sana na kula vyakula vyenye afya (matunda, mboga, samaki na nuts kwa wingi).

Na kila mwaka usikose physical exam na daima hakikisha unajua presha, lehemu na sukari yako. Tujiangalie na kulinda afya zetu.
 
We tuombeane tuu, likiwa likukute halikuepuki.
Mungu anajua,tuombeaneni uzima.
Unajuwa Sukari imeletwa na kufeli kiungo cha mwili (kongosho ) nadhani au (pancreas) kwa kimombo.

Ninikinaua hicho kiungo ,ukweli hausemwi.
Munajuwa nini?
nasikia Chanjo tunazopigwa utotoni ndio huibukia kulemaza baadhi ya viungo au kutuletea steroke .

Maisha ni changamoto, ukiziba huku unabomoa kule ukileta kinga ya bandia mwilini inaleta side effect ya Cancer, Diabet na pressure, .na mapungufu mengine.

Tutahadharini na chanjo hasa hizi za kulazimishana za bure.,
mimi Mzazi wangu amefariki akiwa na miaka 85 hivi ,lakini bado alikuwa anleta ndugu zangu kwa mkewe mdogo hadi miaka yake ya 75 hivi.
yeye hakuwahipo kupigwa chanjo na hakuwa i mwenye kuenda hospitali mara kwa mara ,alipo umwa alitumia zaidi miti shamba na dawa za kienyeji au kisuna.
 
Kizazi hicho kinachomaliza muda wake kilikuwa imara sana. Mimi pia mama yangu kafariki ana miaka 90+ na bado alikuwa analima kishamba chake, kukamua maziwa na kufanya kazi ndogo ndogo. Sisi kizazi cha ma broiler sidhani kama tutafika huko na hata kama tukifika tutakuwa hoi balaa. Mifumo tofauti ya maisha...

Kuhusu chanjo sitashangaa kama zina madhara hayo. Huko zilikotoka magonjwa hayo ni ya kawaida na sasa yamehamia huku kwetu...

Hii chanjo ya Korona inapigiwa kelele sana kwa sababu moja kwa moja inaenda sijui kwenye DNA huko sijui kufanya nini. Yawezekana machanjo haya ni ajenda za watu kuitawala dunia; na sisi ni wahanga tu...
 
We tuombeane tuu, likiwa likukute halikuepuki.
Mungu anajua,tuombeaneni uzima.
Unajuwa Sukari imeletwa na kufeli kiungo cha mwili (kongosho ) nadhani au (pancreas) kwa kimombo.

Ninikinaua hicho kiungo ,ukweli hausemwi.
Munajuwa nini?
nasikia Chanjo tunazopigwa utotoni ndio huibukia kulemaza baadhi ya viungo au kutuletea steroke .

Maisha ni changamoto, ukiziba huku unabomoa kule ukileta kinga ya bandia mwilini inaleta side effect ya Cancer, Diabet na pressure, .na mapungufu mengine.

Tutahadharini na chanjo hasa hizi za kulazimishana za bure.,
mimi Mzazi wangu amefariki akiwa na miaka 85 hivi ,lakini bado alikuwa anleta ndugu zangu kwa mkewe mdogo hadi miaka yake ya 75 hivi.
yeye hakuwahipo kupigwa chanjo na hakuwa i mwenye kuenda hospitali mara kwa mara ,alipo umwa alitumia zaidi miti shamba na dawa za kienyeji au kisuna.
Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa, tupunguze uvivu.
Tufanye mazoezi, ikibidi tupunguze kupanda vyombo vya moto kwa safari fupi.
Ingawa magonjwa ni kazi ya Mungu, lakini tujitahidi kubadirisha mifumo yetu ya maisha.
Kuhusu chanjo, nadhani ni heri ya hii athari ya baadhi ya magonjwa ya ukubwani kuliko hali halisi ilivyokuwa kwa magonjwa kama Polio, Pepopunda na Surua, ambayo watoto wanaendelea kuchanjwa.
Surua iliua mamilioni ya watoto.
Surua ilikuwa na uwezo wa kuwafuta watoto wote kijiji kizima wenye umri chini ya miaka 5 kwa wiki mbili tu.
Lakini pia mama na watoto wachanga wengi walipoteza maisha kutokana na homa ya pepopunda, (Tetanus).
Inawezekana chanjo hizo zinaleta madhara ukubwani, hata hivyo zimeleta nafuu kwa watoto barani Afrika.
Kama wanasayansi barani humu wamefanya utafiti na kujiridhisha kwamba chanjo za Surua, Pepopunda na Polio zina madhara, wabuni aina nyingine ya chanjo ili kunusuru maisha ya watoto wetu.
 
Siyo kisukari tu. Na lehemu (cholesterol) pia. Ikigandamana kwenye vimishipa vya damu huko kichwani mtu unapata shoti unakuwa kama kinyago. Kuanzia miaka 35 baharia inabidi kuwa makini sana. Mazoezi sana na kula vyakula vyenye afya (matunda, mboga, samaki na nuts kwa wingi).

Na kila mwaka usikose physical exam na daima hakikisha unajua presha, lehemu na sukari yako. Tujiangalie na kulinda afya zetu.
Vyakula havina afya bali vina virutubisho ambavyo huupa mwili hali ya afya.

Afya ni hali sio component.
 
Kama wanasayansi barani humu wamefanya utafiti na kujiridhisha kwamba chanjo za Surua, Pepopunda na Polio zina madhara, wabuni aina nyingine ya chanjo ili kunusuru maisha ya watoto wetu.
Wako wapi hao Watafiti nchi kiafrika,tumeshughulishwa na siasa na Madawa ya nchi za Magharibi,tumeshindwa kuendeleza dawa zetu za jadi, zipo tele tele tutaweza hizi za Kuletewa?
We acha tu,
Bara hili ni Dark Continent
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom