FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 449
- 408
Majaribio mbali mbali yamekwisha faulu kuhusu kuishi ndani ya maji Bahani mfano kuundwa kwa nyambizi na hotel za kitalii chini ya bahari mfano mjini Unguja Zanzibar.
Wingi wa watu duniani,dunia timesuhudia uhaba wa ardhi na kupelekea migogoro kama Zimbabwe,Afrika ya Kusini a kwingineko,maeneo ya maziko ni shida sababu ya wingi wa watu
Utalii na kadhalika
Nb: filamu m maarufu ya black Pànther iliyoigizwa na msAnii toka Kenyà lupita hAmjamtendea haki mwandishi wa vitabu vya kiingereza vya watoto aliebuni aina ya Ndege mlizozitumia jina LA kitabu millet Chenye picha ya mtoto mwàfrika wa kiume alievaa cheni kubwa shingoni na kuzingirwa na kimbunga
Instagram:kaukwaju