Bahari haiwezi kukaa na uchafu

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,740
2,000
Bahari haiwezi kukaa na uchafu
Hiyo ndio tabia ya bahari,ukitupa uchafu, au taka baharini lazima bahari itatupa taka nje
Ukawa ni kama bahari lazima uchafu wote utajitenga na ukawa
Tabia ya bahari haikai na uchafu,wasaliti wote watatoka ukawa kama uchafu baharini
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,059
2,000
Hujaijua siasa ya afrika wewe pole!
hukuona 2015 yule waliomuita fisadi walimpokea nakumpa nafasi nzuri..!
hujawaona na wale wanaosema nchi imeharibika nawakati wamekuwa wakiingoza wao!.
binadamu si kiumbe wa kumsemelea vile anavyodhani.. kuna mengi utayaona unapaswa kuelewa ndo uamini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom