Bahari Beach, Dar: Uzinduzi wa Sera za CHADEMA toleo la 2018 - yaliyojiri

Ni kwasababu unadhani kila anayechangia humu ni mwanasiasa kama wewe!Hii JF ilipoanza, nyie wanasiasa mlikuwa wasomaji tu! Hadi mlipobanwa mkawa hamwezi kusoma bila kujiandikisha umember ndo mkaanza taratiibu kujiandikisha, baadaye mkageuza ni sehemu ya ligi za kisiasa badala ya "brainstorming think tank", where we dare to talk openly!

Mwanasiasa wa kwanza kuonyesha ujasiri huo alikuwa ni Mbowe, akafuatiwa na Dr Slaa, the Zitto, wengine mmebakia ID fake tu na kuandika pointless pumba tu kulinda maslahi ya matumbo yenu.
True 100%
 
Nimesoma mstari mmoja hadi mwingine, imekaaa vizuri sana,

Chadema ni Chama kinachoundwa na watu wenye thinking capacity kubwa mno.

Ila Hiki chama cha malimbukeni wala hayawazi, yanajua kujaza vyoo tu....mitumbo mikubwa wala haiwazii wananchi...

Kama hilo limoja linatembea na ilani kila mahali ila liulize hata kama limeshika hata mstari mmoja na kuufanyia kazi.
Maigizo tyu
 
Salim Mapunda 47 minutes ago
PUMBAVUUU ZENU MMEMSALITI MBUNGE WENU WA UKEREWE , HATA KUZIKA HAMKWENDA ILA ALIVYOKUFA MBWA WA LEMA MLIENDA KUZIKA HADI IBADA MLIMFANYIA YULE MBWA
9
Hassan Gomai 1 hour ago
mbowe ebu nenda kawafariji wahanga wa mv nyerere wewe ukilala unaota vyombo vya abari tu kuleta ucomedi wako una ata kimoja ulicho kiogeye unateteya misaada na ruzuku zisikukimbiye panya weeee
10
Christina Msoka 1 hour ago
Mh mbowe nenda kawafariji watanzania wenzetu,msiba tulioupata ni mkubwa.hayo utayaongea tuu.
8
Omary Regga 55 minutes ago
sisi watanzania tuna msiba hayo mambo baadaye kwanza uache na madaraka mbowe unauwa chadema
3
Efraim Mandai 1 hour ago
sasa na wewe na uwenyekiti si ujiudhulu au Sera zenu aina hiyo unazungumzia kuchaguliwa wakati wewe utaki hiyo kwenye chama chako au una Sera za kifalme wewe.Na nina kwambia bila wewe kujiuzulu chadema haitasimama kamwe bali utachoshuhudia ni kuporomoka tu.

3
Zakaria Kahema 1 hour ago
Pisha kwanza uenyekiti ili utimize uzalendo
5
Dogo Hemed 1 hour ago
Hapa kazi tu kanyaga twende mjomba waache wapige kelele
6
Vistus Robert 48 minutes ago
Ni Tz tu ambapo uchaguz ukiisha bado vyam vya upinzan vinaongea ongea kicham cham na kila kitu kinachofanyw na serikali kwao ni kosa hadi wanaboa
2
Barakah Kasembe 1 hour ago
Hamjielewi nyinyi na bado mtakoma kuongea ivo means uxhajua kuingia ikulu ndoto na hamtoingia kamwe.
7
Andrew Emilly 47 minutes ago
nakuona mfamaji
4
Mwamba Paul 1 hour ago
hata enziza musa wasaliti walikuwepo

3 Edson Ndogoro 53 minutes ago
Mbowe akili huna kabisa! Nan kachukua watu wenu? Hiv hao akina Lowasa walikuwepo huko? Kweli akili huna, hakika kichwa chako baada ya kubeba ubongo kimebeba mavi. Acha kutuvuruga wavuruge wajinga wenzako ulionao humo kwenye kaukumbi kenu, toka hapo hadi kichefuchefu.

Inaendela:
Haaaa kwahiyo za ukinzani ndio umeleta humu cha ajabu licha ya yote bado mko wa chache
 
Masahihisho - UKAWA ilipata kura zaidi ya mil 10 , aliyetangazwa na tume yasemekana kura zake hazikuvuka mil 3 unusu , Hili Lowassa kishalisema mara kadhaa na mpaka leo hajakamatwa , taarifa zaidi zinadokeza kwamba matokeo haya ndio kisa cha awamu ya 5 kusigina demokrasia na kufuta mikutano ya vyama na harakati za kisiasa , usijaribu kupotosha watu kwa kutumia jf utaumia .
Aliye waloga atakuwa kafa
 
Ni kwasababu unadhani kila anayechangia humu ni mwanasiasa kama wewe!Hii JF ilipoanza, nyie wanasiasa mlikuwa wasomaji tu! Hadi mlipobanwa mkawa hamwezi kusoma bila kujiandikisha umember ndo mkaanza taratiibu kujiandikisha, baadaye mkageuza ni sehemu ya ligi za kisiasa badala ya "brainstorming think tank", where we dare to talk openly!

Mwanasiasa wa kwanza kuonyesha ujasiri huo alikuwa ni Mbowe, akafuatiwa na Dr Slaa, the Zitto, wengine mmebakia ID fake tu na kuandika pointless pumba tu kulinda maslahi ya matumbo yenu.
Sawa bwana Mushi,jirani wa Mbowe na mwanachama wa ile Sacco's ya baba mkwe
 
Wrong day walahi
Kila kitu ni majanga tu kwa chadrama walahi
Huwa siamini kabisa kama wewe ndio yule.. Kwanini umekubali kulishwa sumu mbaya kiasi hiki!? Nani alikuambia kuwa mpinzani ni uhaini!? Pesa isikupofushe macho na kukufanya kusahau utu wako, heshima yako na hekima yako... Unaweza ukawa unafurahia kufanya unayofanya sasa kwakuwa unalipwa lakini kumbuka unatumika na siku wakikutosha watakiacha njiapanda mchana peupe
Chukua muda kutafakari kuhusu taifa lako, watu wake, ndugu zako jamaa na marafiki kesho yao itakuwaje kama kila mtu akiamua kufanya siasa hizi za namna hii.... Kumbuka siasa na viongozi wake vinapita lakini taifa bado litakuwepo
Tumia influence yako kuleta positive impact katika nchi yako, ili uache alama njema hata utakapokufa
Jenga usibomoe
Ponya usitie jeraha
Unganisha usitenganishe
Patanisha usigombanishe
Tumika kwa mema, usitumike kwa mabaya
Zifanye sekunde zako, dakika zako, masaa yako na siku zako kwa kufanya yenye tija na utu kwa taifa lako na watu wake wote!
Kama tunatofautiana
Kiumri
Kiasili
Kijinsia
Kiimani
Kielimu
Kimaono
Kwanini iwe uhaini tunapotofautiana kiitikadi?

Naomba chukua muda wako kutafakari haya... Nimeandika kama rafiki mwema wa Jamiiforums
 
Mnamawqzo mazur sana Ila sina uhakika kama mnaweza fikia malengo yenu moja

Badilishe mfumo wa utawala weken damu mpya kwenye safu ya uongozi hawa Sumaye na lowasa tupeni mbali kabisa wao kwenye mikutano yenu wanaingoa na usalama wa taifa ambao ni faida kwa ccm

Tupen mbali wala msione aibu
Mbowe awe mshaur wa chama damu changa ishike hatamu sasa

Fanyen haya mapema 2020 sio mbali
 
Picture1537940863344.png
 
Huwa siamini kabisa kama wewe ndio yule.. Kwanini umekubali kulishwa sumu mbaya kiasi hiki!? Nani alikuambia kuwa mpinzani ni uhaini!? Pesa isikupofushe macho na kukufanya kusahau utu wako, heshima yako na hekima yako... Unaweza ukawa unafurahia kufanya unayofanya sasa kwakuwa unalipwa lakini kumbuka unatumika na siku wakikutosha watakiacha njiapanda mchana peupe
Chukua muda kutafakari kuhusu taifa lako, watu wake, ndugu zako jamaa na marafiki kesho yao itakuwaje kama kila mtu akiamua kufanya siasa hizi za namna hii.... Kumbuka siasa na viongozi wake vinapita lakini taifa bado litakuwepo
Tumia influence yako kuleta positive impact katika nchi yako, ili uache alama njema hata utakapokufa
Jenga usibomoe
Ponya usitie jeraha
Unganisha usitenganishe
Patanisha usigombanishe
Tumika kwa mema, usitumike kwa mabaya
Zifanye sekunde zako, dakika zako, masaa yako na siku zako kwa kufanya yenye tija na utu kwa taifa lako na watu wake wote!
Kama tunatofautiana
Kiumri
Kiasili
Kijinsia
Kiimani
Kielimu
Kimaono
Kwanini iwe uhaini tunapotofautiana kiitikadi?

Naomba chukua muda wako kutafakari haya... Nimeandika kama rafiki mwema wa Jamiiforums
Duh!
Katika watu wote wanao ni hisi mimi ni nani, nyote mmekosea sana walahi!
Ndio Maana watu wanaangamia kwa assumptions walahi!
MIMI NDIYE MWENYE UCHUNGU WA KWELI KWA MAMA TANZANIA!
NAKWAMBIA NDUGU YANGU MSHANA MIMI NI MCHAGA NA NINA KIJUA CHADEMA KWA MUDA MREFU PAMOJA NA VIONGOZI WAKE, UNAJUA WAZI KWA NINI MDHUNGU KALETA DEMOKRASIA AFRIKA AMBAYO WAO WENYEWE HAWAITUMII!
DEMOKRASIA NA UMASKINI NI SILAHA TOSHA KABISA KWA MDHUNGU!
AFRICA TUNA UTAJIRI MKUBWA WA NATURAL RESOURCES LAKINI TULIKUWA HATUJAJALIWA KUWA NA HEKIMA KAMILI KUIVUNA NDIO MAANA NYERERE AKASEMA IACHE IKAE HUKO HUKO CHINI MPAKA TUPATE HEKIMA!
SIPENDI KUTUMIA NENO AKILI, bali HEKIMA!
Demokrasia ya Afrika haitaki jazba, ila ni KUWA NA HEKIMA NA BUSARA!
Huna haja ya kuwaambiwa, bali hata mtoto mdogo anaona UPINZANI UCHWARA WANAVYO LILIA MATUMBO YAO TU, kila mtu upinzani ana PERSONAL AGENDA YAKE MWENYEWE NA FAMILIA YAKE TU WALAHI!
Na nina kuapia hakuna mtu yeyote anaye nilipa, bali ni MWENYE ENZI MUNGU na nina uchungu kwa mambo ya kijinga waliojiletea wananchi wenyewe YEMEN, SYRIA, VENEZUELA,LIBYA, n.k. Sio kwa sababu ya dini bali ya utu! Mdhungu hana kosa yeye anafaidika na UJINGA NA TAMAA ZA WANA NCHI wachache!
UTUKUFU WA MWENYE ENZI MUNGU NI UHAI WA BINADAMU walahi!
TUIHESHIMU MAMLAKA ILYOKO MADARAKANI, mengine tumwachie MAULANA MOLA wetu RABUKA mwenye nguvu zote walahi!
Nawaombea Watanzania wote BUSARA na HEKIMA milele yote walahi!
Ehhh Mola wangu ibaraki nchi yangu Tanzania!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom