menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 667
Wakuu,
Mtakubaliana Nami kuwa Bagamoyo Road Kwa kipindi kifupi imebadilika sana kutoka kuwa kibarabara kimoja mpaka kuwa barabara kubwa iliyosheheni makao makuu ya makampuni makubwa ya mawasiliano Tanzania.
Makampuni yote kuanzia TIGO, VODACOM, HALOTEL , TTCL Na AIRTELL lakini pia kuna makao makuu ya kitivo cha COET sehemu ya chuo kikuu cha Dar es salaam. Ukifika pale Bamaga maeneo ya sayansi kuna Start up nyingi sana zinakuzwa.
Lakini pia mtumdikano wa ma bank Na taasisi za fedha kwenye hii barabara kuna ifanya kuwa ya kipekee kabisa Tanzania. Je huenda Sillicon Valley ikazaliwa hapa nchini?
Nawasilisha.
M