Tanzania's China-backed $10bn port plan stalls

winnerian

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
334
530
Tanzania's China-backed $10bn port plan stalls

Thursday May 23 2019


IN SUMMARY

In 2013, Tanzania signed a framework agreement with China Merchants Holdings International to build the port and a special economic zone.

But Tanzaia says the conditions given are not economically viable, hence it has written to the firm over the disputed terms.

A planned $10 billion port project in Tanzania backed by China has hit an impasse, with the two sides disagreeing on terms of the infrastructure investment, a senior Tanzanian port official said on Wednesday.

TALKS

In 2013, Tanzania signed a framework agreement with China Merchants Holdings International, China’s largest port operator, to build the port and a special economic zone that aims to transform the east African country into a regional trade and transport hub.

“The conditions that they have given us are commercially unviable. We said no, let’s meet halfway,” Deusdedit Kakoko, director general of the state-run Tanzania Ports Authority (TPA) told Reuters.

“It would have been a loss ... they shouldn’t treat us like schoolkids and act like our teachers.”

TZ directs importers to use Tanga port instead of Dar

Dar surrenders Bagamoyo port project to Chinese

The Tanzanian government has officially written to the Chinese port operator on the disputed terms, Kakoko said. “We are waiting for them to begin new talks. When they are ready, we will resume the negotiations.”

China Merchants said in an e-mailed statement to Reuters that many years of negotiations with the Tanzanian side had failed to result in a legally binding agreement.

“This project is a purely commercial, investment project and China Merchants Port has in its overseas investments always followed the principles of commercial feasibility and win-win cooperation,” the company said.

The Chinese foreign ministry did not immediately reply to a request for comment.

NEGOTIATIONS

Since taking office in late 2015, President John Magufuli’s government has sought to renegotiate major deals with foreign investors in mining, natural gas, telecoms and infrastructure projects as part of a new resource nationalism drive.

The deal for the Bagamoyo port was signed in 2013 by the government of Magufuli’s predecessor, Jakaya Kikwete, during a visit of Chinese President Xi Jinping to the country. It is also financially backed by Oman’s State General Reserve Fund.

Members of Parliament demanded explanation from the government last week on delays in implementation of the project. A ground breaking ceremony for the project was held in late 2015 but actual construction of the port is yet to start.

The port, to be built in Bagamoyo, 75 kilometres north of Dar es Salaam, would dwarf neighbouring Kenya’s port at Mombasa, east Africa’s trade gateway some 300 kilometres to the north, and include an industrial zone and rail and road links to a region hoping to exploit new oil and gas finds.

It is meant to ease congestion at the port in the commercial capital Dar es Salaam and transform a depressed area into a trade and manufacturing hub. Yet there are practical difficulties, not least that Bagamoyo’s port, unlike Dar es Salaam’s, would most likely need regular, extensive dredging.

Source: Reuters
 
Shida ilishasainiwa, sasa implementation itafanyika tu SiSiM ilishatuingiza chaka. Mkataba ni mkataba ukishawekwa sahihi. Watasubiri Magufuli atoke madarakani au watakwenda mahakamani hapo ndio panaogopesha anyway big up awamu hii.
 
10$ bn huwezi kuwekeza sehema ambayo unajua kabisa hamna maridhiana hamna tajiir atakayetoa pisa yake sehem ambaayo kuna mgogoro
 
Kuna maswali ya kujiuliza hapa kwa waTanzania wenzetu waliotaka kutuingiza hasara. Hawa watu wapo.

Ni kazi bure kumlaumu mChina, halafu usione ujinga wa hawa wenzetu tulionao hapa hapa nyumbani; tena baadhi yao ndio wanaoshangilia hata sasa kwa mengi yanayotokea nchini.

Hawa ndumilakuwili ndio maadui wakuu wa nchi yetu. Kila tunapowatambua inabidi kuwazomea.

Mchina anakwambia anataka "WIN-WIN", lakini ni lazima uelewe hiyo win-win ina maana gani kwako. Kama huna ujualo unataka nini kwenye "WIN" yako, usishangae mChina akakufanyia "WIN-win", ya kwake ikiwa ni 'win' iliyokolezwa.

Hapo usimlaumu yeye. Kasema hata kwenye hiyo habari "The Project is purely a commercial investment" ; maana yake yeye hayupo kwenye u-Father Christmas" na mtu yeyote.

Kama watu wana nja na kuja kufanya biashara ya kuchuuza mahindi ya kuchoma, au kuuza meno ya tembo n.k., uwaachie mlango wazi na hela hiyo ndefu watakuacha salama?

Tukae tujipange vizuri tu. Bandari ya Bagamoyo ni mhimu sana. Billioni 10 ni hela ndefu, lakini tukipania siku moja tutafanikisha hiyo bandari iwepo, hata kama ni miaka kumi ijayo.

Ndio, panapostahili pongezi ni mhimu kupongezwa walioona madudu haya na kuyakataa. Sote tutatambua mema haya, hakuna lazima ya kuyafanyia kampeni maalum kwa kutaka sifa. Sifa itapatikana tu kwa kuona matendo.
 
Shida ilishasainiwa, Sasa implementation itafanyika tu SiSiM ilishatuingiza chaka. Mkataba ni mkataba ukishawekwa sahihi. Watasubiri Magufuli atoke madarakani au watakwenda mahakamani hapo ndio panaogopesha anyway big up awamu hii
Eenh Hee, hilo li-Mkataba si nachana tu hilo likaratasi? Nenda kashitaki unakopenda, utajenga hiyo biashara yako utaipitisha wapi hadi ifike au itoke bandarini kwako?
 
Jamani kuunga mkono au kutounga mkono hii hatua hakutaleta maana, nadhan what was the motive behind ndio cha msingi kuking'amua ktk mktadha huu,

wakubwa si mnakumbukwa mtoto au mwana wa mkuu wa awamu ya NNE mkataba huu ndio ilikuwa salama yake baada ya kukamatwa na sembe lake uko China??? Hasa baada ya kuifahamu hatua ya kunyongwa kuwa ingefuata, ivyo kwa kuwatumia tulowaamini na kuwakabidhi uongoz wa hili taifa walimuokoa kwa kusaini such sham agreement.

Nadhan kitakachofuatia sikijui japo naamini upande ulioumizwa kwa revocation ya huu mkataba lazima ilipwe damage walizo incur.

Yetu macho lakini laana yote hii ihiendee ccm uko walipo, Mungu awape pigo takatifu hapa hapa duniani kwa mikanganyiko hii.
 
Tumelishwa propaganda za Uzalendo

Huu mradi ni mzuri na una manufaa sana.

Sisi hatuingizi senti hata moja kwenye mradi bali hii ni investment ya moja kwa moja yaani tunaleta pesa nchini!, Siyo mkopo huu

Tunashindwa kuona the big picture, Trickle down benefits za mradi, ajira, kodi, kuongeza volume ya mzigo kwa ajili ya reli zetu ambapo kuna fee wasafishaji watatozwa, kuifanya TZ kuwa hub ya mzigo wa china kuingia ndani ya africa, yaani badala ya wafanyabiashara wa Africa kwenda China mzigo wataukuta hapo bagamoyo!, INA MAANA YOTE HAYA HATUYAONI TUMENG'ANG'ANIA BANDARI TU?

Hili dili likiporonyoka, Tutakuwa tumejibania sisi wenyewe, na gharama ya kuijenga hiyo bandari miaka 50 ijayo tutlipa gharama mara tano zaidi ya leo

Tunaacha kujenga bandari tunajenga airport Chato, kweli sisi wa ajabu sana
 
Tumelishwa propaganda za Uzalendo
Huu mradi ni mzuri na una manufaa sana.
Sisi hatuingizi senti hata moja kwenye mradi bali hii ni investment ya moja kwa moja yaani tunaleta pesa nchini!, Siyo mkopo huu
Tunashindwa kuona the big picture, Trickle down benefits za mradi, ajira, kodi, kuongeza volume ya mzigo kwa ajili ya reli zetu ambapo kuna fee wasafishaji watatozwa, kuifanya TZ kuwa hub ya mzigo wa china kuingia ndani ya africa, yaani badala ya wafanyabiashara wa Africa kwenda China mzigo wataukuta hapo bagamoyo!, INA MAANA YOTE HAYA HATUYAONI TUMENG'ANG'ANIA BANDARI TU?

Hili dili likiporonyoka, Tutakuwa tumejibania sisi wenyewe, na gharama ya kuijenga hiyo bandari miaka 50 ijayo tutlipa gharama mara tano zaidi ya leo

Tunaacha kujenga bandari tunajenga airport Chato, kweli sisi wa ajbu sana
Wewe nadhani ulukuwepo kwenye sherehe!
 
Mabadiliko ya Sera toka
1. ukitaka kula lazima uliwe mpaka ukitaka kula Fanya kazi

2. Huko nje kunapesa nyingi mpaka tutawasaidia hukonje sisie.

Waswahili bwana hawanaga hiyana wao kilakitu lainiiiii.

Waarabu walipewa loliondo hivihivi nchi ilichezewa japo nasi tulifaidi kula bila kazi,unacheza tuu bao na unarejea home na nyama saivi unaweza piga kazi nahome ukarudi na tudagaa twashida.

Hii inaitwa "komaa upenye" chungu kumeza hatuna mzungu,mwarabu wala nchina wa kutubeba tunajibeba wenyewe. Kwahili Magu kaonesha ujasiri mzuri
 
Mabadiliko ya Sera toka
1. ukitaka kula lazima uliwe mpaka ukitaka kula Fanya kazi
2. Huko nje kunapesa nyingi mpaka tutawasaidia hukonje sisie.
Waswahili bwana hawanaga hiyana wao kilakitu lainiiiii.... Waarabu walipewa loliondo hivihivi nchi ilichezewa japo nasi tulifaidi kula bila kazi,unacheza tuu bao na unarejea home na nyama saivi unaweza piga kazi nahome ukarudi na tudagaa twashida. Hii inaitwa "komaa upenye" chungu kumeza hatuna mzungu,mwarabu wala nchina wa kutubeba tunajibeba wenyewe. Kwahili Magu kaonesha ujasiri mzuri
Ni roho ya chuma inahitajika kuhalt situation ilivyokuwa. Tulishabaki kidogo tutafute bei ya mkoa wa Dar es salaam kwa wawekezaji.
 
Mabadiliko ya Sera toka
1. ukitaka kula lazima uliwe mpaka ukitaka kula Fanya kazi
2. Huko nje kunapesa nyingi mpaka tutawasaidia hukonje sisie.
Waswahili bwana hawanaga hiyana wao kilakitu lainiiiii.... Waarabu walipewa loliondo hivihivi nchi ilichezewa japo nasi tulifaidi kula bila kazi,unacheza tuu bao na unarejea home na nyama saivi unaweza piga kazi nahome ukarudi na tudagaa twashida. Hii inaitwa "komaa upenye" chungu kumeza hatuna mzungu,mwarabu wala nchina wa kutubeba tunajibeba wenyewe. Kwahili Magu kaonesha ujasiri mzuri
Hapo umenena Kirengased!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom