Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,961
- 2,138
Nina kishamba changu huko Mapinga, naomba mnijulishe ili niamue kusuka au kunyoa!!! Je na chenyewe kitakuwa kimemezwa na EPZ???
Katika moja ya mada zilizopita kulikuwa na Mada moja ilikuwa inaongelea Waziri Muhongo akataa mwekezaji mwenye dollar 20 mill. mdao bila kujali uwekezaji huo ulikuwa na masharti gani alilaumu kuwa hiyo ni hujuma. Mwingine leo analalamika kuwa bagamoyo imeuzwa kwa kuwa kuna mwekezaji mkubwa anapewa hilo eneo kwa njia ya EPZ.
Hawa wote wenye maoni kama haya ni watanzania. Siku zote na shindwa kuelewa ni lipi jema kwetu wtz? do we real know what we want? au tunaongea tu pale tunajisikia kuongea na kupinga kila kitu na kuingiza siasa zisizokuwa na maana. Mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini pia siamini kuwa kama ccm ikiondoka madarakani chama kitakachotawala kitafukuza wawekezaji na waachia wazawa kuendesha miradi yote mikubwa. Kama ndiyo huo utakuwa mwanzo wa kuianganiza kabisa Tanzania na itakuwa muhimu kwa wtz kuwa makini na wanasiasa wanaohubiri siasa zenye malengo ya kupinga uwekezaji wa nje. Hakuna nchi hapa duniani ambayo inakataa wawekezaji kutoka nje. Hata China ambao ni communist country hivi sasa wanakaribisha makampuni makubwa kwenda kuwekeza kwao. Sisi wtz tunahubiri kukataa uwekezaji. Nadhani imefika mahali sasa tuwe makini, vinginevyo tunaandika vitu ambavyo hatumaanishi katika uhalisia.
Imefika wakati kuiangalia upya hii sera ya uwekezaji, kumekuwa na malalamiko ya utekelezaji wake karibu nchi nzima. Kama nakumbuka vizuri hii sera iliibuka sana kipindi cha awamu ya tatu ya uongozi wa nchi, naomba kujuzwa hii sera haina mwisho??
Nionavyo hii nchi itaingia kwenye ukombozi mwingine,huko nyuma tulijikomboa kisaisa kutoka kwenye mikono dhalimu ya wakoloni na huko tuendako hali itakuwa ngumu sana wakati watoto na wajukuu zetu watakapokuwa wanatafuta ukombozi wa kiuchumi katika nchi yao wenyewe. Nasema haya kwa nia njema tu na sio uchochezi kama baadhi yetu mtakavyotafsiri.
Nakubaliana nawe Mkuu ila tatizo kubwa tulinalo ni kwamba ndai ya Serikali hii kumejaa mataahira (I am very sorry to say so) ambao hawaoni athari kubwa siku za usoni za hizi sera za za kifisadi za kuiuza nchi huku na kule bila hata woga.
Katika moja ya mada zilizopita kulikuwa na Mada moja ilikuwa inaongelea Waziri Muhongo akataa mwekezaji mwenye dollar 20 mill. mdao bila kujali uwekezaji huo ulikuwa na masharti gani alilaumu kuwa hiyo ni hujuma. Mwingine leo analalamika kuwa bagamoyo imeuzwa kwa kuwa kuna mwekezaji mkubwa anapewa hilo eneo kwa njia ya EPZ.
Hawa wote wenye maoni kama haya ni watanzania. Siku zote na shindwa kuelewa ni lipi jema kwetu wtz? do we real know what we want? au tunaongea tu pale tunajisikia kuongea na kupinga kila kitu na kuingiza siasa zisizokuwa na maana. Mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini pia siamini kuwa kama ccm ikiondoka madarakani chama kitakachotawala kitafukuza wawekezaji na waachia wazawa kuendesha miradi yote mikubwa. Kama ndiyo huo utakuwa mwanzo wa kuianganiza kabisa Tanzania na itakuwa muhimu kwa wtz kuwa makini na wanasiasa wanaohubiri siasa zenye malengo ya kupinga uwekezaji wa nje. Hakuna nchi hapa duniani ambayo inakataa wawekezaji kutoka nje. Hata China ambao ni communist country hivi sasa wanakaribisha makampuni makubwa kwenda kuwekeza kwao. Sisi wtz tunahubiri kukataa uwekezaji. Nadhani imefika mahali sasa tuwe makini, vinginevyo tunaandika vitu ambavyo hatumaanishi katika uhalisia.
Wacha Uoga kwahiyo Tanzania kabla ya Wawekezaji ilikuwa imeangamia? oi Tulikuwa na aina nyingi za Viwanda tulivyoviongoza wenyewe uongozi mbovu ndio ulitumaliza sasa hivi kuna wawekezaji waliopo kwa ajili ya nchi wanazotoka so ni bora waondoke tu kwani hakuna tunalofaidika na wao Zaidi ya kuona Bidhaa zikipanda bei kila kukicha... au wewe unafidika nao?Katika moja ya mada zilizopita kulikuwa na Mada moja ilikuwa inaongelea Waziri Muhongo akataa mwekezaji mwenye dollar 20 mill. mdao bila kujali uwekezaji huo ulikuwa na masharti gani alilaumu kuwa hiyo ni hujuma. Mwingine leo analalamika kuwa bagamoyo imeuzwa kwa kuwa kuna mwekezaji mkubwa anapewa hilo eneo kwa njia ya EPZ.
Hawa wote wenye maoni kama haya ni watanzania. Siku zote na shindwa kuelewa ni lipi jema kwetu wtz? do we real know what we want? au tunaongea tu pale tunajisikia kuongea na kupinga kila kitu na kuingiza siasa zisizokuwa na maana. Mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini pia siamini kuwa kama ccm ikiondoka madarakani chama kitakachotawala kitafukuza wawekezaji na waachia wazawa kuendesha miradi yote mikubwa. Kama ndiyo huo utakuwa mwanzo wa kuianganiza kabisa Tanzania na itakuwa muhimu kwa wtz kuwa makini na wanasia sa wanaohubiri siasa zenye malengo ya kupinga uwekezaji wa nje. Hakuna nchi h apa duniani ambayo inakataa wawekezaji kutoka nje. Hata China ambao ni communist country hivi sasa wanakaribisha makampuni makubwa kwenda kuwekeza kwao. Sisi wtz tunahubiri kukataa uwekezaji. Nadhani imefika mahali sasa tuwe makini, vinginevyo tunaandika vitu ambavyo hatumaanishi katika uhalisia.
Uwekazaji sawa, lakini uwe kwa vitu tulivyokubaliana kuwekeza sio kwa style hii ya mlipuko. msije wekeza hata familia zetu.Katika moja ya mada zilizopita kulikuwa na Mada moja ilikuwa inaongelea Waziri Muhongo akataa mwekezaji mwenye dollar 20 mill. mdao bila kujali uwekezaji huo ulikuwa na masharti gani alilaumu kuwa hiyo ni hujuma. Mwingine leo analalamika kuwa bagamoyo imeuzwa kwa kuwa kuna mwekezaji mkubwa anapewa hilo eneo kwa njia ya EPZ.