Bagamoyo ilishaporwa na mafisadi; mradi wa bandari utakuwa ni neema kwao

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Ukienda maeneo ya Mbegani ambapo ndio eneo linalooendekezwa kujengwa bandari hutawakuta wenyeji tena bali mafisadi waliojimilikisha ardhi walizonunua kwa bei ya chini ili wasubiri fidia.

Huo mradi sitegemei kuwafaidisha wazawa wa bagamoyo bali mafisadi waliokimbilia huko.
 
Yaani nyie CCM hamjatujua vizuri kumbe eeh?

Ufisadi huo woote umefanyika serikali ya CCM ikiwa madarakani na unaendelea CCM ikiwa madarakani,na wewe ni mwanaCCM kwa hiyo msijidai serikali imebadilika, amebadilika mtu mmoja tu CCM ni ileile mjiandae sasa kwa nondo zetu.

Lazima mtapata matokeo ya upumbavu wenu.
 
Back
Top Bottom