wana jamvi msaada.eti kati ya vyuo viwili hivyo ,kipi kizuri kwa kutoa BAF niweke chaguo la kwanza?
wana jamvi msaada.eti kati ya vyuo viwili hivyo ,kipi kizuri kwa kutoa BAF niweke chaguo la kwanza?
na declare interest,mimi ni mwanafunzi Baf Muccobs, napenda kuchukua mda kidogo kukuelezea mambo yanavyoenda kuliko kung'ang'ana na ushauri usiyo na reasons, kijana BAF zote ni nzuri zinafanana na zinatofautiana course contents na malengo pia. Mfano course content za mzumbe ni Tano,muccobs Saba na Ardhi nane,Kwa upande wa muccobs kuna course za ziada kila semister ambazo mwana Mzumbe atakaa hazizome,na kila course ya mwana Mzumbe inapatikana Muccobs, Muccobs ni chuo si mahali pa kuja kucheza kwani Mr Boa,mama haren,matogoro,Dr mwende,mama mwende, nk watakuvuta shart mapema. Ufaulu wetu ni 50% while mzumbe wako 41%,kupitia baf ya muccobs unaweza kufanya kazi za Accounting zote kuanzia bank,public entities,private entities,cooperative org nk,QUALIFICATION NI Cut Off points ni 4.5 yenye atleast two principle pass. HATARI: kama wewe hujasoma a/c mahali popote na hauna uelewa na a/c, Baf ya muccobs si mahali pako kwani utasoma kwa majuto na manung'uniko kwani lectures utaziona kaa la moto, take it from me.
100% nakubaliana na wewe!
na declare interest,mimi ni mwanafunzi baf muccobs, napenda kuchukua mda kidogo kukuelezea mambo yanavyoenda kuliko kung'ang'ana na ushauri usiyo na reasons, kijana baf zote ni nzuri zinafanana na zinatofautiana course contents na malengo pia. Mfano course content za mzumbe ni tano,muccobs saba na ardhi nane,kwa upande wa muccobs kuna course za ziada kila semister ambazo mwana mzumbe atakaa hazizome,na kila course ya mwana mzumbe inapatikana muccobs, muccobs ni chuo si mahali pa kuja kucheza kwani mr boa,mama haren,matogoro,dr mwende,mama mwende, nk watakuvuta shart mapema. Ufaulu wetu ni 50% while mzumbe wako 41%,kupitia baf ya muccobs unaweza kufanya kazi za accounting zote kuanzia bank,public entities,private entities,cooperative org nk,qualification ni cut off points ni 4.5 yenye atleast two principle pass. Hatari: Kama wewe hujasoma a/c mahali popote na hauna uelewa na a/c, baf ya muccobs si mahali pako kwani utasoma kwa majuto na manung'uniko kwani lectures utaziona kaa la moto, take it from me.
Halafu nasikia watoto wa MUCCOBs Wanang'oa kishenzi CPA,kuna mwalimu wao mmoja wa a/c anaitwa mwakilema centre yake last year ilitoa wanafunzi 19 wa CPA
Muccobs ni wapi jamani ..?? Kipo wapi hicho chuo
weeee!!!!! Hiyo center ni nzuri zaid ya center ya Rashid mganwa mkuuu!!!!Halafu nasikia watoto wa MUCCOBs Wanang'oa kishenzi CPA,kuna mwalimu wao mmoja wa a/c anaitwa mwakilema centre yake last year ilitoa wanafunzi 19 wa CPA
mi sipati picha kuhusu hii BAF,hivi mtu anweza kubobea kwenye Finance na Account kwenye first degree kwa wakati mmoja? Hii course naona kama iko general au vague sana ndo maana mlimani haipo