BAE agrees to immediate payment of Tanzania fine

Well done Hon Membe!
Much respect!

Labda tujikumbushie wikileaks

PCB: Ready to Prosecute the BAE Radar Deal

2. (C) Edward Hoseah, Director General of the Prevention of Corruption Bureau (PCB) told the DCM that the PCB was almost finished with its investigation of the U.K.- Tanzanian BAE radar deal and that it intended to prosecute the case. "We are focused on the 31 percent commission paid to BAE. We understand that businessmen need commissions but the question is whether 31 percent is lawful or not," Hoseah said. He called the deal "dirty" and said it involved officials from the Ministry of Defence and at least one or two senior level military officers.

3. (C) Hoseah said that the two primary suspects, XXXXXXXXXXXX and Shailesh Vithlani, CEO of Merlin International, were currently out of the country but that when they returned the GOT would begin to prosecute. "I have obtained President Kikwete's support to prosecute the culprits once they return to Tanzania," he said, stressing that prosecution of the case would mark an important milestone in the PCB's struggle. "The real signal of the GOT's political commitment will be when we take this radar case to court," Hoseah said.

4. (C) Note: Shailesh Vithlani is a British citizen who reportedly grew up in Tanzania. He heads Merlin International, a Dar es Salaam based company. Merlin International has been implicated as the agent for Britain's BAE Systems which sold a USD 40 million military radar system to the GOT in 2002. Beyond the BAE radar deal, Merlin has been linked in the media to a range of other high profile government deals including the sale of a Gulfstream presidential jet to former President Benjamin Mkapa. According to a July 13 report in This Day, a local newspaper, at the time of the BAE deal, Vithlani's local partner was Tanil Somaiya of Shivacom Tanzania Ltd. US embassy cables: BAE's 'dirty deal' to sell radar to Tanzania revealed | World news | guardian.co.uk

Huko kwenye XXXXXXXXXXXXX na kwingine ambapo majina hayakutajwa inaonekana tutajua ni wakina nani soon because wikileaks is planning to publish new and re-publish the previously released cables without redactions. Wamepitisha poll huko Twitter na inaonekena watu wengi wanaunga mkono hoja. WikiLeaks appeared likely to use the Twitter responses, which it said favoured disclosure at a ratio of 100 to one, to pave the way for imminent disclosure of the remaining material from its cable archive. The majority of cables published recently by WikiLeaks were unclassified: WikiLeaks prepares to release unredacted US cables | Media | guardian.co.uk

So, who knows kurudishiwa hii change may turn out to be the biggest embarrassment when these cables without redactions are released.

mmmh... kwa kwa kweli wanastahili pongezi ila sijui ina maana gani? na hii ina maana kwa upande mmoja kuwa hakuna mtu hata mmoja atakayechukuliwa sheria si hela imerudi? Kwa mtindo ule ule wa Kagoda..

Mzee Mwanakijiji, nilitofautiana na wewe wakati ule ukihamasisha emails zitumwe kwenda BAE kuunga mkono azma yao ya kutaka kutoa fedha kwenye charity organization. Nakumbuka hoja yako ilikuwa ikitaka wahusika wa rada humu nchini washitakiwe. Nilisimamia umuhimu wa kupata fedha zetu kwanza kisha masuala ya kushitakiana yafuate.

Sasa nakuunga mkono kuwa watuhumiwa wa kesi ya rada wafikishwe mbele ya sheria mandhali tumepata chenji yetu. Ni wakati muafaka sasa kuhangaika na masuala ya kusafisha nyumba yetu ndani baada ya kupata kilicho chetu.

Tuko pamoja katika hili. Biashara asubuhi.....jioni mahesabu.

Iwapo kila kitu kitatumika ipasavyo kwa idadi hiyo ya pesa na kwa orodha ya mambo waliyotaja itumike kufanyia tutakuwa hatujapunjwa.

Hivyo basi, naipongeza Serikali na wadau iliyoshughulika nao kwa proposal ya matumizi ya hela hizi.

Mfano:

Nyumba 1190; kwa million 30 kila moja = billion 36 (approx.)
Madawati 190,000; kwa elfu 20 kila moja = billion 4 (approx.)
Vyoo 2900; kwa laki 2 kila kimoja = approx. million 600 (approx.)
Vitabu 192,000; kwa shs.10,000 kila kimoja = billion 2 (approx.)

Hapo ni kama billio 42.6 shs.
Sasa uki add administration ya vyote, nadhani inafika kwenye hiyo billion 50.

• Thanks
Reactions: EMT
Kwa style hii a hata watuhumiwa wa kesi ya Rada hawawezi kufikishwa mbele ya sheria na wakifikishwa itakuwa ni maigizo. Nyuma ya Pazia BAE na kusaiina na serikali yao wameshacheza sinema kumaliza mambo haya kimya kimya . Maana tatizo lolote la kisheria la BAE linaweza kupotezea licenece ya kufanya biashara kwa mujibu wa sheria za Umoj wa ulaya.

BAE Wali, wame na wanafanya kila kitu na wamefnikiwa kuzima mambo haya na kwa issue hii hata serikaliya UK imekubaliana kushirkiana na serikali ya kifisadi ya CCM kwa sababau ya kulinda maslahi ya kampuni kubwa ya UK

angalia ubishi wenyewe ulivyokuwa siku hiyo.BBC - Democracy Live - BAE criticised on Tanzania deal

sijui kama hii ndio link ambayo inazungumzia jinsi hii hela itakavyotumiwa hila katika hiyo site himo humo somewhere. To be honest it was pathetic na jinsi wazungu uchwara apparently ni ma expert wa bongo yaani jinsi walivyodai kuna utandawzi bongo mwenyewe nilichoka. Hila humo vithlani anatajwa wazi kuwa alipewa 31 percent.

Mzee Mwanakijiji, nilitofautiana na wewe wakati ule ukihamasisha emails zitumwe kwenda BAE kuunga mkono azma yao ya kutaka kutoa fedha kwenye charity organization. Nakumbuka hoja yako ilikuwa ikitaka wahusika wa rada humu nchini washitakiwe. Nilisimamia umuhimu wa kupata fedha zetu kwanza kisha masuala ya kushitakiana yafuate.

Sasa nakuunga mkono kuwa watuhumiwa wa kesi ya rada wafikishwe mbele ya sheria mandhali tumepata chenji yetu. Ni wakati muafaka sasa kuhangaika na masuala ya kusafisha nyumba yetu ndani baada ya kupata kilicho chetu.

Tuko pamoja katika hili. Biashara asubuhi.....jioni mahesabu.

ooh noo hapana sijawahi kudai hela zipelekwe kwenye charity organization; nilikuwa napigania fedha zisirudishwe moja kwa moja kwa serikali ile iliyojiingiza mkenge kwanza na utaratibu uwekwe wa kuweza kuhakikisha fedha hizo zinaenda kugusa maisha ya watu moja kwa moja. Kuhusu suala la watu kufikishwa mahakamani, bahati mbaya sana hilo halitatokea na kama kawaida watarudia tena kwa sababu tumeshaanza kujenga culture kuwa wezi wakiiba na kurudisha basi ndio imekwisha.

So.. tufurahie tu kuwa fedha zinarudishwa kwa namna moja lakini hatuna sababu ya kuwa na matumaini kuwa ati kuna mtu atafikishwa mahakamani.

Kampuni ya kutengeneza silaha za kijeshi ya Uingereza BAE Systems, hatimaye imekubali kuilipa moja kwa moja serikali ya Tanzania dola milioni 47.Fedha hizo ni malipo ya ziada yaliyotokana na mauzo ya Rada ambayo yalikuwa ni zaidi ya fedha halisi ya ununuzi wa rada hiyo .Uamuzi huo unahitimisha mvutano wa muda mrefu kuhusu ununuzi wa rada hiyo ambao ulifanyika katika mazingira ya rushwa na kusababisha mahakama nchini Uingereza kuamuru fedha hizo zirejeshwe TanzaniaKampuni ya BAE Systems ilishutumiwa na wabunge wa Uingereza kwa kujivuta kutekeleza amri ya mahakama iliyotolewa zaidi ya mwaka mmoja uliopita .Serikali ya Uingereza ilisema imeiambia BAE kuwa hawana budi kulipa malipo hayo na kutarajia kuwa suala hilo lingefikiwa muafaka kwa faida ya watanzania.Awali katika taarifa yake rasmi BAE ilisema inafanya kazi na serikali ya Uingereza kupitia wizara yake ya Maendeleo ya Kimataifa (DFID) kutoa malipo hayo kulingana na utaratibu wao.BAE haikuwa tayari kuilipa serikali ya Tanzania fedha hizo na ilitaka ilipe kupitia misaada yake kwa mashirika ya hisani ya Uingereza yanayofanya kazi nchini Tanzania.Akizungumza na BBC Idhaa ya Kiswahili kutoka Kongwa Dodoma, Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai alisema ‘huku Tanzania tumeupokea uamuzi huo kwa furaha kubwa sana sana sana, kwa sababu ni jambo ambalo kwa upande wetu tukuwa tunaona kuwa si haki na kwa kuwa sasa fedha hizo zinarudi Tanzania,‘Ni matumaini yetu kuwa fedha hizi zitatumika vizuri, kupitia serikali yetu kwa manufaa ya watanzania wote kama ilivyokusudiwa.’ Aliongeza Bw Ndugai.Naibu Spika Job Ndugai miezi michache iliyopita aliongoza ujumbe wa wabunge wa Tanzania mjini London kufuatilia malipo hayo, baada ya kutokea mvutano wa muda mrefu kati ya serikali Tanzania na kampuni hiyo ya BAE. SOURCE; BBC

Kwa style hii a hata watuhumiwa wa kesi ya Rada hawawezi kufikishwa mbele ya sheria na wakifikishwa itakuwa ni maigizo. Nyuma ya Pazia BAE na kusaiina na serikali yao wameshacheza sinema kumaliza mambo haya kimya kimya . Maana tatizo lolote la kisheria la BAE linaweza kupotezea licenece ya kufanya biashara kwa mujibu wa sheria za Umoj wa ulaya.

BAE Wali, wame na wanafanya kila kitu na wamefnikiwa kuzima mambo haya na kwa issue hii hata serikaliya UK imekubaliana kushirkiana na serikali ya kifisadi ya CCM kwa sababau ya kulinda maslahi ya kampuni kubwa ya UK .

hivi mmejiuliza hiyo rada inafanyakazi kweli.source toka jeshini ni kuwa ni kimeo wanaendelea kutumia za zamani enzi za mwalimu

Hatimaye BAE yakubali kuilipa Tanzania fedha za Rada...
Kampuni ya kutengeneza silaha za kijeshi ya Uingereza BAE Systems, hatimaye imekubali kuilipa moja kwa moja serikali yaTanzania dola milioni 47.
Fedha hizo ni malipo ya ziada yaliyotokana na mauzo ya Rada ambayo yalikuwa ni zaidi ya fedha halisi ya ununuzi wa rada hiyo .
Uamuzi huo unahitimisha mvutano wa muda mrefu kuhusu ununuzi wa rada hiyo ambao ulifanyika katika mazingira ya rushwa na kusababisha mahakama nchini Uingereza kuamuru fedha hizo zirejeshwe Tanzania
Kampuni ya BAE Systems ilishutumiwa na wabunge wa Uingereza kwa kujivuta kutekeleza amri ya mahakama iliyotolewa zaidi ya mwaka mmoja uliopita .
Serikali ya Uingereza ilisema imeiambia BAE kuwa hawana budi kulipa malipo hayo na kutarajia kuwa suala hilo lingefikiwa muafaka kwa faida ya watanzania.
Awali katika taarifa yake rasmi BAE ilisema inafanya kazi na serikali ya Uingereza kupitia wizara yake ya Maendeleo ya Kimataifa (DFID) kutoa malipo hayo kulingana na utaratibu wao.
BAE haikuwa tayari kuilipa serikali ya Tanzania fedha hizo na ilitaka ilipe kupitia misaada yake kwa mashirika ya hisani ya Uingereza yanayofanya kazi nchini Tanzania.
Akizungumza na BBC Idhaa ya Kiswahili kutoka Kongwa Dodoma, Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai alisema ‘huku Tanzania tumeupokea uamuzi huo kwa furaha kubwa sana sana sana, kwa sababu ni jambo ambalo kwa upande wetutukuwa tunaona kuwa si haki nakwa kuwa sasa fedha hizo zinarudi Tanzania,
‘Ni matumaini yetu kuwa fedha hizi zitatumika vizuri, kupitia serikali yetu kwa manufaa ya watanzania wote kama ilivyokusudiwa.’ Aliongeza Bw Ndugai.
Naibu Spika Job Ndugai miezi michache iliyopita aliongoza ujumbe wa wabunge wa Tanzania mjini London kufuatiliamalipo hayo, baada ya kutokea mvutano wa muda mrefu kati ya serikali Tanzania na kampuni hiyo ya BAE. Source BBC. Mhh zitalipwa kweli?

Kama nimeelewa vyema pesa itakuwa channelled through DfID, sasa sijui hapo Membe apongezwe kwa lipi?what I know ni kwamba akina Membe walitaka kupiga kabali hiyo ela ipitie Serikalini kitu ambacho hakitatokea maana pesa itapitia kwene agency ya UK na ndio hayo makadirio ya madarasa/nyumba za walimu na madawati yanapopigwa (which is super fantastic news tbh maana at the end of the day tunaeza kukaa chini huku tukila mishikaki na juisi ya ukwaju huku tukisemezana 'darasa lile au dawati lile ni matunda ya BAE'). Kwa kifupi akina Membe na genge lake wameangukia pua na haki ime-prevail.

Wazipeleke vijijini wakawachimbie visima vya maji wale watanzania waishio kwa kutegemea kisima kimoja kwa watu zaidi ya 600 tena kikiwa kimekauka kipindi hiki cha kiangazi....inauma sana

Macho ya wananchi... Media... Wasomi (wenye interest/wanaharakati) woote yako hapo.... Yaani hapa wakifanya tu Upuuzi wowote ule... Watakua wamechemka mno - na as much as mara nyingi wameprove failure katika maamuzi ya vitu vya msingi; Nina imani saana kua walau hii ni moja ya areas ambayo at least kuna hope kua itatekelezwa ipasavo

Pole kwa wale waliondika barua BAE kuwaomba wasilete pesa!!

Lazima achekelee mgao huo mnono hela za kampeni ya urais hana shida hapo

Kama unadhani kampeni zinatumia hela za walipa kodi basi waulize hao wezi wenzio au hao wanaotumia ruzuku kujiuzia magari.

Under the plans, the money would be spent on 4.4m school textbooks, 192,000 desks, 1,196 teachers' houses and 2,900 pit latrines. Spending the money on such tangible objects, DfID argued, would make auditing easy and minimise the chance of any corruption allegations.

Nawashangaa wanaopongeza viongozi wa TZ. Kwa kazi gani? Hawajatwambia nani alifanya huo ufisadi hapa TZ. Pia ni aibu japo ndo ukweli kuona hatuwezi kutumia vizuri pesa mpaka wao tayari wameshapanga zifanye nini. Zitanunua vitabu, desk, nyumba na kujenga vyoo!
Aibu kwa serikali yetu.

Hahaha...ndio hapo. Kina Membe si walitaka pesa ije kwa serikali? sasa wanapongezwa kwa nini?

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom