Hivi karibuni niliandika uzi huu:
Hata hivyo Badru bado anajisifia kuwa walioangaliwa Zaidi kwenye mikopo ni wale watoto wenye uhitaji zaidi wanaotoka familia duni.
Ukweli hajui watoto wa wale unaowafikiri wazazi wao wana ahueni wanvyosota mavyuoni kwa kukosa mikopo Hawa hawapati cha accommodation, meal wala tution fees. Wanajihangaikia tu wakati wenzao hata fedha za field wanakopeshwa. Kuna chuki kubwa sana kati ya hawa watoto wa matabaka mawili - kwanza ambao mnawapatia mikopo kwa kuamini wazazi wao wana uwezo duni wanachukiwa sana na wale ambao mmewaacha ambao mnawabambika majina ya kihuni kuwa wana uwezo wa kusoemsha watototo wao.
Kumbukeni mnakopesha watoto sio wazazi. Tena wahanga wakubwa watoto wa watumishi wa umma ambao mnanyima mikopo kwa makusudi kabisa. Tena watumishi wa umma hawa ni wale wasioa na mishahara mikubwa na pia hata mishahara hiyo haijapandishwa Zaidi ya miaka mitano sasa.
Badru ameshindwa hata kutambua kuwa wanaonyanyasika ni watoto na sio hata wazazi kwa sababu hawa watoto wanasota wakati wanachotakiwa kupata ni mikopo ambayo watakuja ilipa wao na si wazazi wao. Badru kajitoa ufahamu kabisa kwa hili!
Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) wanatokaje awamu hii?
Awamu ya tano ilikuwa na maupendeleo kibao. Mikopo ikawa inatolewa kwa watoto wanaosemwa ni wa walalahoi. Watoto wa tabaka la wafanyakazi - hata wale ambao mishahara yao ni kiduchu na haijapandishwa kwa miaka sita mpaka sasa, watoto wao wakanyimwa kukopa. Vigezo vya kutoa mikopo vikaangalia...
www.jamiiforums.com