Badra masoud akwepa swali kuhusu umeme songea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Badra masoud akwepa swali kuhusu umeme songea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amina Thomas, May 6, 2012.

 1. Amina Thomas

  Amina Thomas JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 272
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nilikua naangalia taarifa ya habari ya tbc. nimekuta wanamhoji Badra Masoud kuhusu tatizo la umeme songe ambalo limesababisha kufanyika kwa maandamano makubwa jana. akaulizwa je wananchi wa songea wategemee lini kupata umeme?

  Kama vile hajaelewa swali amejizungusha kwa maelezo marefu kiasi mtangazaji alionesha wazi kua anakereka. kama alikua hana jibu wala suluhisho alienda kufanya nini? yaani inakera sana.
   
 2. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,444
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Alienda kuuza sura!
   
 3. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mimi mwenyewe sikumuelewa anaulizwa lini anajikanyaga tu,waaachee songeandio hao wameshaliamsha kwa nguvu zote.
   
 4. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Hata mimi nilipigwa butwaa kwa yule mdada kutojibu lile swali aliloulizwa na mtangazaji! Kama siyo msanii tumwite nani?
   
 5. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mpaka apate shinikizo la damu? shirika lenyewe mnajua lina matatizo?
   
 6. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,827
  Likes Received: 4,193
  Trophy Points: 280
  Vuvuzela la tanesco hilo
   
Loading...