Bado watu wananunua magazeti?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Enzi hizo nilikuwa napenda kununua gazeti la dar Leo na alasiri,nilikuwa sina amani km nikiwa mkoani cz yalikuwa yanapatikana dar tu.
Kwa sasa sina hakika km yanapatikana,kwa sasa sinunui gazet last time kununua ilikuwa 2012.
Taharifa nyingi nasoma,napata kwenye cimu.
Najiuliza tu wapo wanaonunua hadi Leo.?
 
Back
Top Bottom