Bado watu hawajajua moto wa NCCR

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,490
54,884
tulijua watu watajichanganya sana.
vyama vyote vikaa kuwaza upande wa mashariki mwa tanzania kama sehemu ya kuanzia harakati za mageuzi.lakini sisi tunaanzia magharibi.wakati nyinyi mnalala sisi tunawaangalia.hatimae tumeikamata kigoma,Ngara.sasa tunasonga kuja mashariki.tunaomba njia.mipango yetu ya kwanza ilikua samwel Ruhuza aka SAM ashinde jimbo la Ngara lakini Ntukamazina akachakachua.sasa hivi tunalenga kusini.kusini,sikia tunakuja sasa,2015 PATACHIMBIKA.roger.
 
ayi.....ndo mnaamka....mliendaga wapi?...looooong time.....kumbe bado mpo..
 
tulijua watu watajichanganya sana.
vyama vyote vikaa kuwaza upande wa mashariki mwa tanzania kama sehemu ya kuanzia harakati za mageuzi.lakini sisi tunaanzia magharibi.wakati nyinyi mnalala sisi tunawaangalia.hatimae tumeikamata kigoma,Ngara.sasa tunasonga kuja mashariki.tunaomba njia.mipango yetu ya kwanza ilikua samwel Ruhuza aka SAM ashinde jimbo la Ngara lakini Ntukamazina akachakachua.sasa hivi tunalenga kusini.kusini,sikia tunakuja sasa,2015 PATACHIMBIKA.roger.

Moto haujajulikana kwa sababu hakuna kitu kama hicho.
 
Duh, enzi zake ilianzia Kilimanjaro na Mara!! Ikafa kisha inafufukia Magharibi, itakufa kisha ifufukie kusini!! Huo nao ni mchakato!
 
tulijua watu watajichanganya sana.
vyama vyote vikaa kuwaza upande wa mashariki mwa tanzania kama sehemu ya kuanzia harakati za mageuzi.lakini sisi tunaanzia magharibi.wakati nyinyi mnalala sisi tunawaangalia.hatimae tumeikamata kigoma,Ngara.sasa tunasonga kuja mashariki.tunaomba njia.mipango yetu ya kwanza ilikua samwel Ruhuza aka SAM ashinde jimbo la Ngara lakini Ntukamazina akachakachua.sasa hivi tunalenga kusini.kusini,sikia tunakuja sasa,2015 PATACHIMBIKA.roger.

Join Date : 13th October 2011

Posts : 10
Rep Power : 0

Sikushangai sana ila nina swali kwako sana kuwa siku zote ulikuwa wapi? JF ndo umeisikia jana? Mbatia vipi mnamtoa lini madarakani maana nae amekuwa kama Lipumba2
Karibu jamvini bwana mdogo soma rules usije ukaparamia mambo...
 
tulijua watu watajichanganya sana.
vyama vyote vikaa kuwaza upande wa mashariki mwa tanzania kama sehemu ya kuanzia harakati za mageuzi.lakini sisi tunaanzia magharibi.wakati nyinyi mnalala sisi tunawaangalia.hatimae tumeikamata kigoma,Ngara.sasa tunasonga kuja mashariki.tunaomba njia.mipango yetu ya kwanza ilikua samwel Ruhuza aka SAM ashinde jimbo la Ngara lakini Ntukamazina akachakachua.sasa hivi tunalenga kusini.kusini,sikia tunakuja sasa,2015 PATACHIMBIKA.roger.
Acha kufuka dogo, yaani tumetoka sasa hivi kukukaribisha mara umesharukia kuanzisha utumbo mtupu. Mimi nachukia sana member wapya wanaokuja na ID mbili mbili kwa lengo la kufuka mosho hapa jukwaani. Ningekuwa moderators nikikugundua tu naifuse ID yako mpya na kuakuabisha jukwaani kwa ujinga ulioufanya.
 
Mwaka huu tutasikia Mengi!!

Haya mzee wewe tangaza moto wenzio wakujie na Fire extinguisher..
 
tulijua watu watajichanganya sana.
vyama vyote vikaa kuwaza upande wa mashariki mwa tanzania kama sehemu ya kuanzia harakati za mageuzi.lakini sisi tunaanzia magharibi.wakati nyinyi mnalala sisi tunawaangalia.hatimae tumeikamata kigoma,Ngara.sasa tunasonga kuja mashariki.tunaomba njia.mipango yetu ya kwanza ilikua samwel Ruhuza aka SAM ashinde jimbo la Ngara lakini Ntukamazina akachakachua.sasa hivi tunalenga kusini.kusini,sikia tunakuja sasa,2015 PATACHIMBIKA.roger.

Kuna thread moja nimei-post hapa JF kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko,nikasema wanachama wanaojiunga sasa hapa JF tena kwa kasi walioanza wakati wa uchaguzi wa Igunga na mpaka sasa wengi wao ni janga kwa hii forum na mbaya zaidi kwa Taifa..Na sababu zangu zakusema hivi moja ya sababu nyingi nilizonazo ni hoja zao nyepesi na zisizo na tija,nimepata misukosuko kuwa mimi ni mbinafsi napinga watu wasijiunge hapa JF...........Haya ona hoja ya huyu jamaa aliyejiunga mwezi wa kumi....
 
aliyejiunga mwezi wa kumi au aliyejiunga leo leo, ila watu kama hawa JF tunawamudu, walishakuja wenzie kama yeye kipindi cha uchaguzi mkuu lakini walijipukutua wenyewe
 
tulijua watu watajichanganya sana.
vyama vyote vikaa kuwaza upande wa mashariki mwa tanzania kama sehemu ya kuanzia harakati za mageuzi.lakini sisi tunaanzia magharibi.wakati nyinyi mnalala sisi tunawaangalia.hatimae tumeikamata kigoma,Ngara.sasa tunasonga kuja mashariki.tunaomba njia.mipango yetu ya kwanza ilikua samwel Ruhuza aka SAM ashinde jimbo la Ngara lakini Ntukamazina akachakachua.sasa hivi tunalenga kusini.kusini,sikia tunakuja sasa,2015 PATACHIMBIKA.roger.
Thanks Roger

MTM
 
Back
Top Bottom