jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
Naiandika kama tetesi kwani mimi kama mimi sijafika ocean road cancer institute kuthibitisha..lakini kuna mgonjwa katoka huko wiki iliyopita na amesimulia kutozwa kiasi kisichopungua laki tano ili kugharamia dawa za kansa.
Nakumbuka mkurugenzi wa ORCI alikuwa ni mmoja wa watumbuliwa jipu wa mapema kabisa...sasa inaelekea bado kuna majipu yaliyobakia..!
Kwa wenye uzoefu zaidi kwa kipindi hiki cha baada ya jipu kutumbuliwa katika hospitali hii watujuze zaidi.