Bado Upo Upo Huu

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
P5228381.jpg
 
Nakumbuka wakati nipo primary school ilikuwa ni lazma kutoa mchango wa mafuta ya mwenge.
Sijui mpaka siku hizi bado ipo hiyo!
 
images.jpg
unamkumbuka waliyemzunguka hivi? full ulinzi kwa mwenge hapa
 
IMG_2616.jpg
mijisare lila uchao, mtanzania anakufa hospitalini kwa kukosa tiba
 
Siku hizi ni chanzo cha ngono zembe na kueneza ukimwi, period, hakuna la ziada.

Tiba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom