Bado unaishi nyumba ya kupanga na mpenzi wako...Jenga ya kwako ndani ya miezi sita!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bado unaishi nyumba ya kupanga na mpenzi wako...Jenga ya kwako ndani ya miezi sita!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mparee2, Sep 5, 2012.

 1. Mparee2

  Mparee2 JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 2, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  Sio kwamba nawadharau watu wanaoishi nyumba za kupanga kwani hata mimi ndio niko kwenye jitihada za kutoka huko. Naamini ni ndoto ya watu wote siku moja waishi kwenye nyumba zao na ni ukweli usiofichika kuwa ukiwa kwenye nyumba yako unapata amani kwa kuepuka usumbufu wa wenye Nyumba na uhusiano wako unaimarika.
  ..Nilikuwa nimesafiri kidogo nje nikakutana na watu wano fanya biashara za mtandao, japo nyingi ni za kiutapeli ila kuna moja nimeona wengi wanafanya kama mchezo ila inawalipa na haigharimu chochote
  jaribu kufungua
  IncomePart.com Earn Money by referral links - 1$ per visit

  naamini ukiwa na muda kwenye internet na ukiunganisha watu wengi; ndani ya miezi sita utaweza kujenda nyumba yako
   
 2. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mekutana nayo hii huko fb, ntajaribu
   
 3. m

  mhindi Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  brother hii mbona sijaielewa kwani baada ya kuona tu ile link niliwatumia watu zaidi ya 500 na mpaka sasa nina usd 180.lakini sasa jins ya kupata hayo malipo ndio nimeshindwa.hebu nijuze brother bifanyeje?
   
 4. m

  mhindi Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  brother hii mbona sijaielewa kwani baada ya kuona tu ile link niliwatumia watu zaidi ya 500 na mpaka sasa nina usd 180.lakini sasa jins ya kupata hayo malipo ndio nimeshindwa.hebu nijuze brother nifanyeje?
   
 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mmmh hiyo ni promo, huo ujanja umefundishwa na wanigeria?
   
 6. m

  mhindi Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  brother nimetuma kwa watu kibao na account yangu inaonesha nina dola 180.lakini jins yakupata ndio sielewi.kuna sehem chini inabidi uweke e mail yako kwa ajili ya malipo lakin ukiweka e mail hakuna kitu chochote kinachotokea.kama wewe umewahi kufanya kitu kama hichi hebu naomba unijuze
   
 7. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Unaleta utapeli wakisenegal hapa?
   
Loading...