Bado ujapata jibu tu ni kwanini kuna keshi nyingi za kubambikiziwa mahakamani?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Hiki kitendo cha kumkamata mtu kwa kesi ya Uchiche halafu unampekeka kupimwa mkojo na kwenda kumpekua nyumbani kwake? Ni kutakaka kumbadilishia mtu tuhuma sio?

Ukusikia mtu yuko mahabusu kwa kesi ya kusingiziwa na polisi usitafute jibu,kupitia kwa tuhuma za lisu tunajionea wenyewe, haya malalamiko yapo sana. Mtu amekuomba rushwa kwa tuhuma ya kesi ndogo ukamkatalia kama hauko macho unabadilishiwa tuhuma na kitakachofuata ni kukalia debe buree.
 
kwani haya mambo yameanza leo!?
au kwa kuwa saivi yanawakuta watu wazito na maarufu kisiasa!?
 
Back
Top Bottom