Bado tunapigwa mikataba ya Barrick

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
4,579
8,573
Mwezi Machi 2017 Serikali ya Tanzania na Mkuu wa Barrick, Prof John Thornton waliutangazia umma kuwa Barrick imekubali kulipa USD Milioni 300 kama kishika uchumba ambapo baadae serikali ingekuwa inapata 50/50 kwa kinachokipata Barrick. (Ref IKULU, DAR: Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Prof. John L. Thornton)

Kinyume chake Acacia ambao haikuwa sehemu ya makubaliano imeona kuwa fedha hizo zinajumuisha kila kitu ikiwemo kodi zinazodaiwa na hakutakuwa na malipo zaidi wala gawio la 50/50.

Serikali iitakiwa kupata jumla ya USD bilioni 190 lakini inaonekana kiwango hiki cha kishika uchumba ndio cha mwisho.

Je ni kweli watanzania alitarajia hilo kwa yale mageuzi ya kichumi ya 2016? Tumepigwa.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
13,007
49,494
Hili jambo wakati mwingine naona limetawaliwa na mihemko sana.

Kwanza tukubaliane lengo la Magufuli kuhusu ile fidia ya kuwadai Barrick halikuwa baya, alikuwa anaonesha uzalendo wake kupigania maslahi ya taifa letu, huu ndio ukweli.

Kama alizipata zile pesa au vinginevyo, hilo ni jambo lingine, lakini dhamira yake ilikuwa sahihi kuonesha vile tulivyopigwa na wazungu kwenye mikataba ya madini, na hata kama tulipewa chini ya pale, bado sioni ubaya wake, bora tulipata kwani wengi hatukuwa na hilo wazo.
 
Igurumuki Masanja

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
728
1,466

Halafu na yeye akaendelea kupigwa huku akiwadanganya wadaganyika ?
 
Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
8,237
4,535
Hili jambo wakati mwingine naona limetawaliwa na mihemko sana.

Kwanza tukubaliane lengo la Magufuli kuhusu ile fidia ya kuwadai Barrick halikuwa baya, alikuwa anaonesha uzalendo wake kupigania maslahi ya taifa letu, huu ndio ukweli.

Kama alizipata zile pesa au vinginevyo, hilo ni jambo lingine, lakini dhamira yake ilikuwa sahihi kuonesha vile tulivyopigwa na wazungu kwenye mikataba ya madini, na hata kama tulipewa chini ya pale, bado sioni ubaya wake, bora tulipata kwani wengi hatukuwa na hilo wazo.
Dhamira ya lile jizi la 1.5 tril ilikuwa kupewa 10%
Huwezi kumdai myu milioni akupe buku uridhike...fungilia mbali mgodi ila bcs maguu was so corrupt sitaki sema zaidi
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
19,245
28,962
Hili jambo wakati mwingine naona limetawaliwa na mihemko sana.

Kwanza tukubaliane lengo la Magufuli kuhusu ile fidia ya kuwadai Barrick halikuwa baya, alikuwa anaonesha uzalendo wake kupigania maslahi ya taifa letu, huu ndio ukweli.

Kama alizipata zile pesa au vinginevyo, hilo ni jambo lingine, lakini dhamira yake ilikuwa sahihi kuonesha vile tulivyopigwa na wazungu kwenye mikataba ya madini, na hata kama tulipewa chini ya pale, bado sioni ubaya wake, bora tulipata kwani wengi hatukuwa na hilo wazo.
Wanasiasa wengi ukiwaona jukwaani unaweza sema ni wazalendo ila nyuma ya pazia na mafisadi wakubwa. Achilia mbali ile 1.5 trillion, hivi uwanja wa chato ulijengwa na kampuni ya nani?
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom