Bado tunamhitaji waziri asiye na wizara maalum?

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
Naendelea kujiuliza maswali ambayo sajapata majibu, labda nyie wenzangu mnayo na mnisaidie kujibu....

Hivi waziri wa sasa ambaye ni waziri asiye na wizara maalum naye anaongea bungeni? (kujibu maswali), Je, ana ofisi ambazo zinashughulika na masuala mbalimbali ya utawala katika nchi hii?? Je huwa anafanya ziara ndani na nje ya nchi kama mawaziri wengine? Hivi naye huwa anatoa amri kwa watendaji wengine wa serikali kuu ama za mitaa kuhusu utekelezaji wamasuala mbalimbali?

Kama hafanyi mambo hayo na yupo kwa ajili ya kuendelea kuifaidi neema ya wananchi masikini je kuna haja ya cheo hicho kuendelea kuwepo?
 
KIGUMU chama cha Mapinduzi!
 
Haina mantiki yoyote kuwa na mfanyakazi asie na kitengo maalumu cha kuzalisha au kufanya shughuli zake, waweke na rais asie na ikulu maalumu basi.
 
Back
Top Bottom