Bado TBC

ijoz

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
731
709
Habari zilizotangazwa na BBC SWAHILI zimesema kuwa katika jitihada za kujikwamua na mdororo wa uchumi,Serikali ya Ugiriki imefunga shirika la Habari la Ugiriki 'TBC ya Ugiriki' (inaitwa ERT) baada ya kuona kuwa linajiendesha kwa hasara.
Kwamba,imebainika kuwa ni watu wachache wanafuatilia habari zake,na kwamba wengi wameamua kufuatilia habari kutoka vituo binafsi,na kwamba shirika linaitia hasara Serikali ya Ugiriki.


Nami ningetamani hali hii ya kufungia kituo cha habari ifanyike kwa TBC,kwani vipindi vyake havina mvuto,na kwa kweli wamekosa ubunifu,na linatia hasara serikali yetu.
 
Naunga mkono hoja mkuu,siku hizi imekua kero tupu TBC!ni njia muafaka kwa serikali ya tanzania kubana matumizi kwa kuanzia na kuifunga TBC
 
kumbe naww umeckia!?na mi pia nimesikia na nilikuwa na mawazo km yako serious tuombe Mungu,bado TBC
 
Back
Top Bottom