Bado sjajua Rostam Aziz ni nani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bado sjajua Rostam Aziz ni nani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chigwiye, Jan 20, 2011.

 1. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Majuzi tu alipokua akikanusha tuhuma za kwenda marekani kuweka sawa dili ya dowans,RA alisema yeye ni mzalendo na kwamba hivi karibuni alikuwa nchi kadhaa za uarabuni kushawishi wawekezaji kuwekeza TZ.Alienda kwa wadhifa upi? je kama mbunge tu au mpenda nchi.No! he must be giant somewhere in the government
   
 2. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Poleeeeeeeeeee utamjua muda ukifika
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,070
  Likes Received: 5,553
  Trophy Points: 280
  [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]

  mjue kwanza huyu
  uje kwa rostam ,,usiwe na haraka pole pole utamfahamu anaelekea mahakanyani
   
 4. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  He is a great thief. Mkuu wa Mafisadi, the five star fisadi
   
 5. mama yuva

  mama yuva JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  We hujui ndiye anayetawala Tanzania nyuma ya mapazia? halafu usikute ana pasport ya canada, hawa watu siwaamini kabisa.
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,070
  Likes Received: 5,553
  Trophy Points: 280
  sjajua Rostam Aziz ni nani
  [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]

  UKIANZA MAMBO YA PASSPORT UTAPATA SHIDA YA MAWAZO HUYU ANA PASIPOTI YA WAPI NIAMBIE NA URAIA WAKE
   
 7. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Wengine waandishi wa habari huwa wanamwita mfanya biashara maarufu, hivi TRA hulipa shs ngapi kwa mwezi ili aitwe hiyo sifa. Labda tunaweza kusema, matatizo ya uchumi wa nchi yamesababishwa na usukaji wa mission zake.
   
Loading...