Bado Sisi ni Nchi ya Amani na Utulivu? Angalia Hizi...

Toosweet

JF-Expert Member
May 27, 2012
2,141
1,982
Heshima Kwenu,

'Amani na Utulivu' wa nchi hupimwa kwa kuangalia hali ya kutokuyumba(stability) kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Many African countries are considered less stable due to their political, social, economic and demographic vulnerability.
Vulnerability to collapse is based on 12 key political, social and economic indicators using the Conflict Assessment System Tool(CAST) approach.

Orodha ya nchi zenye 'amani na utulivu' katika Afrika, ya kwanza mpaka ya kumi, kwa mujibu wa taasisi ya Kimarekani ya Fund for Peace think tank ni:

1.Mauritius
2.Seychelles
3.Botswana
4.Ghana
5.Cape Verde
6.Namibia
7.Sao Tome & Principe
8.Afrika Kusini
9.Gabon
10.Tunisia

Nchi tano stable zaidi duniani ni;
1.Finland
2.Norway
3.Switzerland
4.Denmark na
5.Ireland.

Nchi hatari zaidi kuishi/Most vulnerable, ni,
Sudani Kusini
Somalia
Jamhuri ya Afrika ya Kati(CAR)
Sudani
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
 
Most vulnerable add tanzania
 
Tz vipi, nadhani tunataka.kuelekea kwenye hilo kundi la mwisho
Heshima Kwenu,

'Amani na Utulivu' wa nchi hupimwa kwa kuangalia hali ya kutokuyumba(stability) kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Many African countries are considered less stable due to their political, social, economic and demographic vulnerability.
Vulnerability to collapse is based on 12 key political, social and economic indicators using the Conflict Assessment System Tool(CAST) approach.

Orodha ya nchi zenye 'amani na utulivu' katika Afrika, ya kwanza mpaka ya kumi, kwa mujibu wa taasisi ya Kimarekani ya Fund for Peace think tank ni:

1.Mauritius
2.Seychelles
3.Botswana
4.Ghana
5.Cape Verde
6.Namibia
7.Sao Tome & Principe
8.Afrika Kusini
9.Gabon
10.Tunisia

Nchi tano stable zaidi duniani ni;
1.Finland
2.Norway
3.Switzerland
4.Denmark na
5.Ireland.

Nchi hatari zaidi kuishi/Most vulnerable, ni,
Sudani Kusini
Somalia
Jamhuri ya Afrika ya Kati(CAR)
Sudani
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
 
Nina uhakika kabisa kama hiyo orodha ya nchi hatari zaidi kuishi ikiongezwa na kufikia kumi, basi Tanzania ya sasa lazima itakuwepo tu.
Watu wasiojulikana wametupeleka pabaya kabisa. Tunaangamia taratibuuu.
 
Heshima Kwenu,

'Amani na Utulivu' wa nchi hupimwa kwa kuangalia hali ya kutokuyumba(stability) kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Many African countries are considered less stable due to their political, social, economic and demographic vulnerability.
Vulnerability to collapse is based on 12 key political, social and economic indicators using the Conflict Assessment System Tool(CAST) approach.

Orodha ya nchi zenye 'amani na utulivu' katika Afrika, ya kwanza mpaka ya kumi, kwa mujibu wa taasisi ya Kimarekani ya Fund for Peace think tank ni:

1.Mauritius
2.Seychelles
3.Botswana
4.Ghana
5.Cape Verde
6.Namibia
7.Sao Tome & Principe
8.Afrika Kusini
9.Gabon
10.Tunisia

Nchi tano stable zaidi duniani ni;
1.Finland
2.Norway
3.Switzerland
4.Denmark na
5.Ireland.

Nchi hatari zaidi kuishi/Most vulnerable, ni,
Sudani Kusini
Somalia
Jamhuri ya Afrika ya Kati(CAR)
Sudani
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Africa kusini nayo kuna utulivu na amani wakati inaongoza kwa uhalifu?
 
Taratibu tunaanza kupotea kwenye zile orodha tulizokuwa 'tunajidai' nazo.
 
Sasa toa na orodha ya nchi kandamizi zaidi kwa demokrasia duniani, kisha utaona tutakuwa namba ngapi!
 
Back
Top Bottom