Bado sioni.....

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Juma alikuwa anajaribu kukwepa malipo baada ya kufanyiwa upasuaji wa macho kwa kusema bado haoni,

Daktari akamnong'oneza nesi avue nguo zote mbele yake;

JUMA: "Bado sioni"
Nesi akaamua kupanua miguu yaani mapaja yake,

JUMA:(huku jasho likimtoka) "Bado sioni"

DAKTARI: "Mpubavu nini? huoni huku suruali inatuna kwa mbele?"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom