Bado siku tatu ACACIA iwe 100% mali ya Barrick, endeleni kusali

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,220
5,941
In accordance with Rule 2.6(a) of the Code, Barrick must, by not later than 5.00 p.m. on 18 June 2019, either announce a firm intention to make an offer for Acacia in accordance with Rule 2.7 of the Code or announce that it does not intend to make an offer, in which case the announcement will be treated as a statement to which Rule 2.8 of the Code applies. This deadline will only be extended with the consent of the UK Takeover Panel in accordance with Rule 2.6(c) of the Code. A further announcement will be made as and when appropriate.

Kwa taarifa mgodi wa bulyanhulu umevamiwa na wachimbaji wadogo zaidi ya elfu kumi na ikifika tarehe 18 acacia bado yupo wanaugawana. Pia kuna maandamano ya wafanyakazi na wanakijiji yanaandaliwa kushinikiza hawa jamaa waondoke.
 
Wamevamia zaidi ya mwez nw...na namba 2 imevamiwa...ila nikiri tu kitu ki1...kwa kitu nilichomuappreciate Magu ni kwa wachimbaji madini wadogo wadogo..anawapa favor mno..na hawaguswi!
 
Hahaha wekezeni wenyewe mchimbe madini yenu, sasa mnamfukuza mzungu na mnampigia debe mzungu mwingine. Hamumtaki ACCACIA ila mnampenda BARRICK, mhmm. Hawa ni John na Smith, wote wazungu.
 
Wamevamia zaidi ya mwez nw...na namba 2 imevamiwa...ila nikiri tu kitu ki1...kwa kitu nilichomuappreciate Magu ni kwa wachimbaji madini wadogo wadogo..anawapa favor mno..na hawaguswi!
Hahaha anawatumia kama afanyavyo kwa MUSIBA na Tanzanite, anataka wafanye fujo hadi muwekezaji aondoke. Ni bora angetumia sheria tu, mbinu za kijima, mtamlipa fidia muwekezaji msipomlindia uwekezaji wake.
 
Na mm nimehis hvyo . anawatumia hawa wafanye fujo..mzingu ss hv hana ngv kbs huku ...yaani ni km shamba livamiwe na nzige . ila ni Neema kwetu sie maskni
 
Kwa taarifa mgodi wa bulyanhulu umevamiwa na wachimbaji wadogo zaidi ya elfu kumi na ikifika tarehe 18 acacia bado yupo wanaugawana. Pia kuna maandamano ya wafanyakazi na wanakijiji yanaandaliwa kushinikiza hawa jamaa waondoke.
ACACIA akiondoka nini kinabadilika huku Tanzania? Kampuni ikabidili mmiliki wafanyakazi na jamii inayozunguka kampuni inaweza walione badiliko lolote; labda mtendaji mkuu ndiye atabadilishwa
 
Back
Top Bottom