Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Alitoa maagizo kwa mkuu wa mkoa na wakurugenzi wa ilala na kinondoni kuhakikisha uchaguzi wa meya ilala na kino unafanyika kabla ya tarehe 16 januari.
Lakini mpaka sasa hamna tamko lolote wala ishara ya kuwepo uchaguzi huo.
Mkuu wa mkoa kamdharau waziri?
Mkurugenzi wa ilala na kino nao wamedharau?
Nini kinaendelea mpaka sasa juu ya chaguzi hizi?
Lakini mpaka sasa hamna tamko lolote wala ishara ya kuwepo uchaguzi huo.
Mkuu wa mkoa kamdharau waziri?
Mkurugenzi wa ilala na kino nao wamedharau?
Nini kinaendelea mpaka sasa juu ya chaguzi hizi?