Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,191
Mtoa mada hajasema watu wasome wavumbue bali waweze kutenda mambo pasi na cheti kwa kuzingatia mazingira ya sasa.1.Mimi naomba nitofautiane mtazamo kitu wasichokijua watu wengi ni kwamba wanafikiri elimu unayofundishwa au ya huko ughaibuni inamfundisha mtu kujiajiri au kuvumbua kitu..
2. Swala la kujiajiri au kuvumbua kitu ni suala la mtu binafsi na udadisi wa mtu huyo husika shuleni ama darasani haufundishwi wala nini ni wewe mwenyewe binafsi kuona changamoto inayokuzunguka na kuitafutia suluhisho ndo maana anaekufundisha wewe kujiajiri yeye mwenyewe ameajiriwa
Hata ulaya sio wote wanaovumbua ila vwengi wanaweza tendea waliosomea japo nao mfumo wao wamekuwa wakiuona kama umepitwa na wakati.