Vip madeniNani amekuambia geza eti hatuna $2 bn. Geza wachanga madharau saa zingine. Yaani wewe hujui budget yetu this year ni $30 bn? Duh wewe unajua mambo mengi kuhusu Kenya unajua tunaeza afford kujenga sgr kutoka Mombasa hadi Nairobi kila mwaka na tutabaki na change. Shida ni corruption na stupidly high wage bill. 2% of Kenyans get paid 50% of budget according to President Uhuru's speech in state of the nation adress. Kenya ina pesa vibaya sana, tatizo ni inatumika aje? Usije tena siku nyingine kuuliza kama tuna pesa, afadhali uhoji pesa inaenda wapi
Hili ni kosa kubwa sana mnalofanya, lengo la kufufua hii bandari ni ili kukuza uchumi wa Kisumu na kutengeneza ajira, lengo sio kufurahisha wananchi kwa ajili ya kupata kura wakati wa uchaguzi.In theory uko sahihi lakini hatujui kama bei ya mizigo itapunguzwa kama sgr ya Kenya na wenye malori kunyimwa biashara kama ilivyofanyika sgr. GOK ikitaka kitu ifaulu itatumia mbinu zote, whether it makes profit or not. Issue hapa ni image. Wakenya watafurahi wakiona port imefufuka. Hata mimi nitafurahi, saa zingine mambo ya profit and loss inakuja baadaye
Ningependa kushirikisha mawazo yangu ili kuibua mjadala kuhusu bandari ya Kisumu ambayo punde tu itakusanya marais 5 kuizindua. Nimefikiria sana kuhusu hii bandari umuhimu wake kwa sasa, bado sijapata muunganiko wake.
Bandari ya Kisumu iliacha kufanyakazi zaidi ya miaka 12 iliyopita, sababu kubwa iliyosababisha kudorora pamoja na mambo menigine, ni kutokana na wafanyabiashara wengi wa Uganda kutumia usafiri wa reli na barabara, ambao ukipakia "cargo", hazishushwi hadi Uganda, yaani gharama za upakiaji na ushushaji ni Mara mbili tu.
Kwasababu hiyo, reli ya kuelekea Kisumu ilikosa mizigo na kuachwa ikajifia kabisa, kutokana na naekezo ya James Macharia, reli kuelekea Kisumu inahitaji kujengwa upya sio kukarabatiwa. Swali ninalojiuliza, kama hakuna reli inayoelekea Kisumu, je bandari ya Kisumu inaungana vipi na Mombasa, au Kisumu Port haitegemei mizigo ya Uganda na DRC?.
Bila shaka "Kisumu port" lengo lake ni hizi nchi za Uganda na DRC, je itatumia mfumo upi wa usafirishaji ambao utakua ni bei nafuu na ni haraka. Tumeambiwa bandari ya Mwanza itatumia mfumo wa "Railway - Marine - Railway", ambao ni " integrated ", yaani mabehewa hayashushi mizigo kutoka Dar- hadi Kampala au Jinja Uganda, Kisumu port itatumia mfumo upi kama hakuna reli inayofika Kisumu?.
Magufuli na Tshisekedi hawaji! Wapo SADC meeting for head of states!
Msikilize James Macharia kuanzia 6:25 na ulinganishe na safari za KQ kwenda USA sasa hivi ndio utajua ni kiasi gani viongozi wa Kenya walivyo na uwezo mdogo katika kufikiria na kupanga mipango ya " Projects " za kiuchumi. Yaani level yao ya kufikiria huwa ninaishangaa sana, unless wanafanya makusudi, siamini kama hawa ni watu wazima na wanesoma hadi Universities. Hata bandari ya Kisumu itaishia kama safari za NY.In theory uko sahihi lakini hatujui kama bei ya mizigo itapunguzwa kama sgr ya Kenya na wenye malori kunyimwa biashara kama ilivyofanyika sgr. GOK ikitaka kitu ifaulu itatumia mbinu zote, whether it makes profit or not. Issue hapa ni image. Wakenya watafurahi wakiona port imefufuka. Hata mimi nitafurahi, saa zingine mambo ya profit and loss inakuja baadaye
Msikilize James Macharia kuanzia 6:25 na ulinganishe na safari za KQ kwenda USA sasa hivi ndio utajua ni kiasi gani viongozi wa Kenya walivyo na uwezo mdogo katika kufikiria na kupanga mipango ya " Projects " za kiuchumi. Yaani level yao ya kufikiria huwa ninaishangaa sana, unless wanafanya makusudi, siamini kama hawa ni watu wazima na wanesoma hadi Universities. Hata bandari ya Kisumu itaishia kama safari za NY.
cc.Tony254Utaelewa tuu,wewe bado mtoto mdogo mambo haya ni makubwa kwako.
Kuna watu hawapendi criticism. Lakini critique ni muhimu ili watu wajirekebishe.cc.Tony254
cc.DepayKuna watu hawapendi criticism. Lakini critique ni muhimu ili watu wajirekebishe.
Sikuwa namaanisha Depay. Usitugonganishe. Mimi ni mtu wa amanicc.Depay
Jamaa unapenda kulalamika, si uwe mwanasiasa basi ufanye mabadilikoHuyo Macharia huwa confused sana na huwa anajicontradict sana. Kenya projects hazifanywi kwa utaratibu unaofaa. Kuna lack of public participation. Kama ile barabara kutoka Mombasa hadi Nairobi haijahusisha Wakenya hasa wanauchumi. Nina masomo kidogo ya uchumi na kwangu ni wazi hio project ni ya upuzi. In economics, the basic law ni eti resources are scarce. Capital, land and labour ni scarce sana na hizi factors of production zinastahili kutunzwa kwa umakini sana. Tayari tuna Sgr ambayo haijafika 100 percent utility rate na pia tuna barabara ambayo haijaharibika na kwa kawaida haina jam. Ukizingatia hayo mambo mawili mwanauchumi yeyote atakueleza kuwa we are not optimally allocating our resources. Kuharibu zaidi bei ya huo mradi umeongezwa kwa lengo la corruption. Optimal allocation of resources ni kama kujenga transport infrasture, kisha electricity generation and distribution, kisha special economic zone pamoja na port. Nadhani hivi ndio China walifanya. Sisi tumekwama kwa Infrastructure. Tumeshindwa kujenga affordable electricity resource na mbaya zaidi tumeshindwa kabisa kujenga SEZs ambazo zitacreate employment na kuincrease export of Kenyan value-added products thereby improving our balance of payment position. Kwanza unemployment haitaisha Kenya hadi industries zijengwe kama ambavyo Ethiopia wanafanya. Industries hazitajengwa mpaka tuwe na affordable power. Japo Kibaki na Uhuru wote wamesomea uchumi lakini Kibaki alielewa hili ila Uhuru alienda shule kula mandazi.
Hiyo ni opinion yangu na kila mtu ako na right ya kusema anachotaka.Jamaa unapenda kulalamika, si uwe mwanasiasa basi ufanye mabadiliko
Sawa. Acha tuone kama jito la jiwe atafikisha ujumbe maana kina Uhuru, ruto na wengineo hawajui kama kuna kitu kinaitwa jf.. Wangesoma malalamiko yako..Hiyo ni opinion yangu na kila mtu ako na right ya kusema anachotaka.
cc.Tony254Huna akili ya kuelewa mambo ya Kisumu port. Here is more of it, take the dose.View attachment 1181431
Hahaa....Sasa si umuinbox muongee na yeye huko inbox.cc.Tony254