Bado sijaelewa lengo kuu la kufufuliwa kwa "Kisumu port"

joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
10,505
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
10,505 2,000
Ningependa kushirikisha mawazo yangu ili kuibua mjadala kuhusu bandari ya Kisumu ambayo punde tu itakusanya marais 5 kuizindua. Nimefikiria sana kuhusu hii bandari umuhimu wake kwa sasa, bado sijapata muunganiko wake.

Bandari ya Kisumu iliacha kufanyakazi zaidi ya miaka 12 iliyopita, sababu kubwa iliyosababisha kudorora pamoja na mambo menigine, ni kutokana na wafanyabiashara wengi wa Uganda kutumia usafiri wa reli na barabara, ambao ukipakia "cargo", hazishushwi hadi Uganda, yaani gharama za upakiaji na ushushaji ni Mara mbili tu.

Kwasababu hiyo, reli ya kuelekea Kisumu ilikosa mizigo na kuachwa ikajifia kabisa, kutokana na naekezo ya James Macharia, reli kuelekea Kisumu inahitaji kujengwa upya sio kukarabatiwa. Swali ninalojiuliza, kama hakuna reli inayoelekea Kisumu, je bandari ya Kisumu inaungana vipi na Mombasa, au Kisumu Port haitegemei mizigo ya Uganda na DRC?.

Bila shaka "Kisumu port" lengo lake ni hizi nchi za Uganda na DRC, je itatumia mfumo upi wa usafirishaji ambao utakua ni bei nafuu na ni haraka. Tumeambiwa bandari ya Mwanza itatumia mfumo wa "Railway - Marine - Railway", ambao ni " integrated ", yaani mabehewa hayashushi mizigo kutoka Dar- hadi Kampala au Jinja Uganda, Kisumu port itatumia mfumo upi kama hakuna reli inayofika Kisumu?.
 
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
3,973
Points
2,000
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
3,973 2,000
Muulize magu...kwa sababu ye mwenywe ni mmoja kati ya wale marais wanne watakaoenda kisumu
Ningependa kushirikisha mawazo yangu ili kuibua mjadala kuhusu bandari ya Kisumu ambayo punde tu itakusanya marais 5 kuizindua. Nimefikiria sana kuhusu hii bandari umuhimu wake kwa sasa, bado sijapata muunganiko wake.

Bandari ya Kisumu iliacha kufanyakazi zaidi ya miaka 12 iliyopita, sababu kubwa iliyosababisha kudorora pamoja na mambo menigine, ni kutokana na wafanyabiashara wengi wa Uganda kutumia usafiri wa reli na barabara, ambao ukipakia "cargo", hazishushwi hadi Uganda, yaani gharama za upakiaji na ushushaji ni Mara mbili tu.

Kwasababu hiyo, reli ya kuelekea Kisumu ilikosa mizigo na kuachwa ikajifia kabisa, kutokana na naekezo ya James Macharia, reli kuelekea Kisumu inahitaji kujengwa upya sio kukarabatiwa. Swali ninalojiuliza, kama hakuna reli inayoelekea Kisumu, je bandari ya Kisumu inaungana vipi na Mombasa, au Kisumu Port haitegemei mizigo ya Uganda na DRC?.

Bila shaka "Kisumu port" lengo lake ni hizi nchi za Uganda na DRC, je itatumia mfumo upi wa usafirishaji ambao utakua ni bei nafuu na ni haraka. Tumeambiwa bandari ya Mwanza itatumia mfumo wa "Railway - Marine - Railway", ambao ni " integrated ", yaani mabehewa hayashushi mizigo kutoka Dar- hadi Kampala au Jinja Uganda, Kisumu port itatumia mfumo upi kama hakuna reli inayofika Kisumu?.
 
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
18,992
Points
2,000
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
18,992 2,000
As usully wazee wa kutapatapa na kukurupuka Kisumu port inajengwa kwa vile wameona mizigo ikienda Kampala kupitia Mwanza Kwa wagon ferries. Hizo synergies za Railway to waterway usiulize! Ni hivi, SGR to Naivasha then trucks to Kisumu then wagon ferries to Port bell onwards railway to Kampala!

Hebu Msikilizeni Macharia kama Peter Keter during Uganda's pipeline saga! He is saying NGR will go to Malaba!

Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Messages
2,754
Points
2,000
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2017
2,754 2,000
Ningependa kushirikisha mawazo yangu ili kuibua mjadala kuhusu bandari ya Kisumu ambayo punde tu itakusanya marais 5 kuizindua. Nimefikiria sana kuhusu hii bandari umuhimu wake kwa sasa, bado sijapata muunganiko wake.

Bandari ya Kisumu iliacha kufanyakazi zaidi ya miaka 12 iliyopita, sababu kubwa iliyosababisha kudorora pamoja na mambo menigine, ni kutokana na wafanyabiashara wengi wa Uganda kutumia usafiri wa reli na barabara, ambao ukipakia "cargo", hazishushwi hadi Uganda, yaani gharama za upakiaji na ushushaji ni Mara mbili tu.

Kwasababu hiyo, reli ya kuelekea Kisumu ilikosa mizigo na kuachwa ikajifia kabisa, kutokana na naekezo ya James Macharia, reli kuelekea Kisumu inahitaji kujengwa upya sio kukarabatiwa. Swali ninalojiuliza, kama hakuna reli inayoelekea Kisumu, je bandari ya Kisumu inaungana vipi na Mombasa, au Kisumu Port haitegemei mizigo ya Uganda na DRC?.

Bila shaka "Kisumu port" lengo lake ni hizi nchi za Uganda na DRC, je itatumia mfumo upi wa usafirishaji ambao utakua ni bei nafuu na ni haraka. Tumeambiwa bandari ya Mwanza itatumia mfumo wa "Railway - Marine - Railway", ambao ni " integrated ", yaani mabehewa hayashushi mizigo kutoka Dar- hadi Kampala au Jinja Uganda, Kisumu port itatumia mfumo upi kama hakuna reli inayofika Kisumu?.
Usafiri wa barabara lazima utatumika kutoka Naivasha hadi Kisumu. Natumai nimejibu swali lako
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
10,505
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
10,505 2,000
Usafiri wa barabara lazima utatumika kutoka Naivasha hadi Kisumu. Natumai nimejibu swali lako
Kwahiyo unamaanisha kwamba
1) Container linalokwenda DRC litafikishwa Naivasha kwa SGR, litashushwa na kuhifadhiwa hapo (Gharama za handling &strorage).
2)Litabebebwa kwa Lori hadi Kisumu(Gharama za usafirishaji)
3)Litashushwa Kisumu port na kuhifadhiwa(Gharama za handling & storage)
4)Litasafirishwa kwa meli(Gharama za usafiri)
5)Litashushwa na kuhifadhiwa "Port bell" (Gharama za handling &storage)
6)Litachukuliwa kwa barabara hadi DRC (Gharama za usafirishaji)
Really?
 
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
18,992
Points
2,000
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
18,992 2,000
Usafiri wa barabara lazima utatumika kutoka Naivasha hadi Kisumu. Natumai nimejibu swali lako
Yaani Kenya of all the mighty u claim couldn't raise $2 bln to connect Naivasha n Kisumu? What r all those big banks doing if ur yearly big budget can't even set aside $500 mln for SGR Naivasha-Kisumu? If Chinese r expensive, why can't u give that segment to another company? Truth to be said JPM is visionary!
 
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
8,371
Points
2,000
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
8,371 2,000
Kwahiyo unamaanisha kwamba
1) Container linalokwenda DRC litafikishwa Naivasha kwa SGR, litashushwa na kuhifadhiwa hapo (Gharama za handling &strorage).
2)Litabebebwa kwa Lori hadi Kisumu(Gharama za usafirishaji)
3)Litashushwa Kisumu port na kuhifadhiwa(Gharama za handling & storage)
4)Litasafirishwa kwa meli(Gharama za usafiri)
5)Litashushwa na kuhifadhiwa "Port bell" (Gharama za handling &storage)
6)Litachukuliwa kwa barabara hadi DRC (Gharama za usafirishaji)
Really?
Good analysis.
Cost plus cost.
It's like danadana.

😁😂🤣
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
10,505
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
10,505 2,000
Yaani Kenya of all the mighty u claim couldn't raise $2 bln to connect Naivasha n Kisumu? What r all those big banks doing if ur yearly big budget can't even set aside $500 mln for SGR Naivasha-Kisumu? If Chinese r expensive, why can't u give that segment to another company? Truth to be said JPM is visionary!
Kenya na wakenya kwa ujumla, wanauwezo mdogo sana wa kufikiria mambo makubwa, uwezo wao wa kufikiria ni " below average". Subiri usikie majibu watakayotoa katika huu uzi ndio utagundua ninachosema.
 
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Messages
2,754
Points
2,000
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2017
2,754 2,000
Kwahiyo unamaanisha kwamba
1) Container linalokwenda DRC litafikishwa Naivasha kwa SGR, litashushwa na kuhifadhiwa hapo (Gharama za handling &strorage).
2)Litabebebwa kwa Lori hadi Kisumu(Gharama za usafirishaji)
3)Litashushwa Kisumu port na kuhifadhiwa(Gharama za handling & storage)
4)Litasafirishwa kwa meli(Gharama za usafiri)
5)Litashushwa na kuhifadhiwa "Port bell" (Gharama za handling &storage)
6)Litachukuliwa kwa barabara hadi DRC (Gharama za usafirishaji)
Really?
Haha sawa umeshinda
 
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Messages
2,754
Points
2,000
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2017
2,754 2,000
Yaani Kenya of all the mighty u claim couldn't raise $2 bln to connect Naivasha n Kisumu? What r all those big banks doing if ur yearly big budget can't even set aside $500 mln for SGR Naivasha-Kisumu? If Chinese r expensive, why can't u give that segment to another company? Truth to be said JPM is visionary!
Nani amekuambia geza eti hatuna $2 bn. Geza wachanga madharau saa zingine. Yaani wewe hujui budget yetu this year ni $30 bn? Duh wewe unajua mambo mengi kuhusu Kenya unajua tunaeza afford kujenga sgr kutoka Mombasa hadi Nairobi kila mwaka na tutabaki na change. Shida ni corruption na stupidly high wage bill. 2% of Kenyans get paid 50% of budget according to President Uhuru's speech in state of the nation adress. Kenya ina pesa vibaya sana, tatizo ni inatumika aje? Usije tena siku nyingine kuuliza kama tuna pesa, afadhali uhoji pesa inaenda wapi
 
K

Kanya

Senior Member
Joined
Feb 21, 2019
Messages
146
Points
250
K

Kanya

Senior Member
Joined Feb 21, 2019
146 250
What connects Mombasa and kisumu ports? OIL PIPELINE, ROAD and RAIL, rest is business and we now how to do it, better than competition.
 
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
18,992
Points
2,000
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
18,992 2,000
What connects Mombasa and kisumu ports? OIL PIPELINE, ROAD and RAIL, rest is business and we now how to do it, better than competition.
Which pipeline the one oil is siphoned everyday?
 
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Messages
2,754
Points
2,000
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2017
2,754 2,000
Kwahiyo unakubaliana na Mimi nikisema kwamba mradi wa kufufua Kisumu Port ni muendelezo wa maamuzi mabovu yanayofanywa na serikali ya Kenya katika uwekezaji?.
In theory uko sahihi lakini hatujui kama bei ya mizigo itapunguzwa kama sgr ya Kenya na wenye malori kunyimwa biashara kama ilivyofanyika sgr. GOK ikitaka kitu ifaulu itatumia mbinu zote, whether it makes profit or not. Issue hapa ni image. Wakenya watafurahi wakiona port imefufuka. Hata mimi nitafurahi, saa zingine mambo ya profit and loss inakuja baadaye
 
Forum statistics

Threads 1,326,727
Members 509,582
Posts 32,232,539
Top