bado sijaamini Kuwa Chadema imefulia

Jambo Tz

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
670
202
Kufuatia taarifa zinazo zagaa kuwa wafuasi wa chadema na katibu wake wamepigwa mawe huko Kigoma
Je? Ndio mwanzo wa kufuliaaa
 
Kufuatia taarifa zinazo zagaa kuwa wafuasi wa chadema na katibu wake wamepigwa mawe huko Kigoma
Je? Ndio mwanzo wa kufuliaaa

Umesahau msafara wa rais jk ulipigwa mawe wakati anatoka chunya? Huo ndio ulikuwa mwisho wa ccm? Kumbuka mti wenye matunda mazuri ndio upigwao mawe.
 
Back
Top Bottom