Bado sielewi imekuwa kuwaje hadi Haji Manara akawa shabiki wa Simba

Tofauti ..unajua Beckham kwao London..Manchester alienda kucheza mpira tu...probably child hood timu yake sio Manchester United...hivyo Becs ni Arsenal ndio maana mtoto kashindwa kujificha..Haji kacheza mpaka Yanga kids ni fursa za maisha tu...
Yap beck ni arsenal ,hata kuna kipind alikuwa anafanyia mazoez hapo colney arsenal ,na nadhan ndio maana mtoto kamrith,

Ni sawa na edo , kile kitoto chake ni arsenal lia lia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1)Pengine baba alikua anacheza yanga lkn kwenye moyowake alikua ni simba..

2)Abdallah bin kleb akiwa mdogo baba yake ni simba akienda nae uwanjani yy anashangilia yanga,

3)mm ni simba damu lkn baba yangu ni yanga kindakindaki,..

4)mm ni shabiki wa arsnal lkn mtoto wangu wa miaka 10 yy ni chelsie wa wa mpaka analia,,,
,,,Yote yanawezekana,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haji anaipenda Simba kama anavyoipenda CCM. Alinihadithia wakati yuko mdogo kuna siku ilikua mechi ya Simba na Yanga, akachukua viatu cha baba yake akavitia kwenye ndoo ya maji Ili asiende kwenye mechi ya watani wa jadi. Anasema hata yeye hajui ilikuwaje akawa tofauti na mzee wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama Mimi nlivo mshabiki wako na hata sijuagi why!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haji Manara ni mtoto wa Sunday Manara " Computer " Legendary wa Dar Es Salaam Young Africans of all the time.

Haji Manara kama mtoto wa Legendary wa Dar Young Africans ambae almost utoto wake wote amekua akimshuhudia baba yake kama Mchezaji wa kutegemewa wa Yanga, nilitegemea angekuwa shabiki wa Yanga but I am.surprised that imekuwa the opposite.

Ni sawa na mtoto wa Sheikh Mkuu wa mkoa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa.

Watu wengi tunao shabikia Simba na Yanga ni kwa sababu tumewakuta baba zetu wakishabikia timu hizo. Tumerithi kama dini vile.

Mimi ni shabiki wa Yanga kwa sababu nimezaliwa nikimkuta baba yangu ana shabikia Yanga.

Na mimi nikaanza kuipenda Yanga kwa sababu ya kumfuata baba.

Every member of our family is royal to Dar Young Africans.
We are royal to Yanga probably because we are loyal to our father.

Mwaka 97 nikiwa darasa la sita nikaanza kuishabikia Arsenal. I introduced Arsenal to my father soon there after and he started to support Arsenal instantly probably because he was reciprocating my royalty to him.

Back to Haji Manara . Unaweza kutolea maelezo hili? How comes baba ako alikuwa Legendary wa Yanga halafu umekuwa shabiki na msemaji wa Simba.

This is not royal bro.

Mimi niliipenda Yanga simply kwa sababu baba yangu alikuwa shabiki wa Yanga seuze wewe ambae baba yako alikuwa anaichezea kabisa Yanga!!!

Whats up bro?
Babu yake mzaa mama alikuwa Mwenyekiti wa Simba
 
Haya mambo ni tofauti mimi familia yangu wote ni simba baba, mama na ndugu zangu wa kuzaliwa pia wale wote walio kulia kwa mzee wangu ni simba

mzee wangu kama simba inacheza huwa linapikwa pilau nyumbani soda, kuku kifupi ni sherehe. ana kofia zile zimeandikwa "simba taifa kubwa" basi huivaa siku iyo

mie nimekuwa shabiki ya yanga toka kwa baba mdg maana alikuwa akija anabeba zawadi huku mimi akinipa nguo za njano/kijani akisema mimi ni yanga dam dam.

nimekuwa hivyo nikiamini na kuipenda yanga hadi leo.

naona sasa ivi mzee anawarithisha wajukuu.maana nilirudi nyumbani nakuta siku ya mechi wote wamevaa simba huku pilau limeandalia wanaambiwa "njooni mle matunda ya kuishangilia simba"

yawezekana hajji alipata mtu/nduguye akamfanya aipende simba
Nakubaliana na wewe
 
Simba hoyeeeee
Hongereni sana watani. U deserved it. Hakuna timu naikubali kama ambayo imetoka kufungwa goli nyingi but ikafanikiwa kushinda mechi iliyo fuata..Meaning wachezaji hawakukubali kuathiriwa kisaikolojia na Matokeo ya mechi walivyo fungwa goli nyingi
 
Haji anaipenda Simba kama anavyoipenda CCM. Alinihadithia wakati yuko mdogo kuna siku ilikua mechi ya Simba na Yanga, akachukua viatu cha baba yake akavitia kwenye ndoo ya maji Ili asiende kwenye mechi ya watani wa jadi. Anasema hata yeye hajui ilikuwaje akawa tofauti na mzee wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Very interesting
Next time ukikutana NAE mwambie akusimulie kisa cha mashabiki watoto wa Yanga kudhani yeye ni mzungu
Ni hivi Sunday Manara alikuwaga anaenda na Haji mazoezini. Basi watoto walikuwa wakimuona Haji kwenye gari la baba ake they were like " computer ana mtoto mzungu.kazaa na mwanamke wa kizungu"
 
Hahahahaaa.. nitamwambia anieleze. Mwenyewe anajiitaga mwarabu
Very interesting
Next time ukikutana NAE mwambie akusimulie kisa cha mashabiki watoto wa Yanga kudhani yeye ni mzungu
Ni hivi Sunday Manara alikuwaga anaenda na Haji mazoezini. Basi watoto walikuwa wakimuona Haji kwenye gari la baba ake they were like " computer ana mtoto mzungu.kazaa na mwanamke wa kizungu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom