Bado sielewi imekuwa kuwaje hadi Haji Manara akawa shabiki wa Simba

Hakuna ushabiki wa mpira wa kurithi,

Narudia tena haupo,

Ushabiki wa mpira unakuja automatically tu,

Ukitaka kuhakikisha hili concetrate kwenye machi timu usizozitambua hata kidogo,

Automatically unajikuta unaupenda upande fulani bila kushurutishwa,

Kwahiyo inawezekana kabisa familia nzima kuwa yangu au simba mtoto akawa opposite

Nimekua katika familia wakishabikia timu tofauti na mimi nashabikia timu tofauti.

Refer watoto wa CR7 na MESSI
 
Hivi inakuwaje mtu anarithi ushabiki kutoka kwa wazazi??? Nafikiri mshabiki wa mpira ni hali mtu anakuwa nayo yy mwenyewe kutoka moyoni bila kushawishiwa na mtu... Yani ni kama kumpenda mke mwema... Yani it comes naturally yani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haji Manara ni mtoto wa Sunday Manara " Computer " Legendary wa Dar Es Salaam Young Africans of all the time.

Haji Manara kama mtoto wa Legendary wa Dar Young Africans ambae almost utoto wake wote amekua akimshuhudia baba yake kama Mchezaji wa kutegemewa wa Yanga, nilitegemea angekuwa shabiki wa Yanga but I am.surprised that imekuwa the opposite.

Ni sawa na mtoto wa Sheikh Mkuu wa mkoa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa.

Watu wengi tunao shabikia Simba na Yanga ni kwa sababu tumewakuta baba zetu wakishabikia timu hizo. Tumerithi kama dini vile.

Mimi ni shabiki wa Yanga kwa sababu nimezaliwa nikimkuta baba yangu ana shabikia Yanga.

Na mimi nikaanza kuipenda Yanga kwa sababu ya kumfuata baba.

Every member of our family is royal to Dar Young Africans.
We are royal to Yanga probably because we are loyal to our father.

Mwaka 97 nikiwa darasa la sita nikaanza kuishabikia Arsenal. I introduced Arsenal to my father soon there after and he started to support Arsenal instantly probably because he was reciprocating my royalty to him.

Back to Haji Manara . Unaweza kutolea maelezo hili? How comes baba ako alikuwa Legendary wa Yanga halafu umekuwa shabiki na msemaji wa Simba.

This is not royal bro.

Mimi niliipenda Yanga simply kwa sababu baba yangu alikuwa shabiki wa Yanga seuze wewe ambae baba yako alikuwa anaichezea kabisa Yanga!!!

Whats up bro?
Umeoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hueleweki Mara mwaka 90 Mara 92/93..Which is which and which is not which? Anyway probably wewe ni mtoto wa nje ..Hujakua na baba ako. Haiwezekani baba ako awe Yanga wewe uwe Simba. Hakunaga kitu kama hicho ni sawa na na kusema ulianza kumpenda Yesu ukiwa na miaka mitatu wakati baba ako alikuwa mwalimu wa madrassa
Unafananisha mafuta ya taa na maji..

Mpira sio imani ya dini bali ni mapenzi binafsi ya mtu.

Mi baba yangu Yanga damu na nikiwa mdogo nishanunuliwa jezi za njano za yanga na mzee alifanya kila aliwezalo watoto wake wote waipende yanga lakini mwisho wa siku mi ni shabiki wa simba maana kwa mapenzi yangu binafsi nilivutiwa na simba...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu hapa hakuna hata mmoja anayelipia fee yake ya uanachama huko Simba/Yanga ila wote mnasema mnazipenda hizo timu.

Tofauti kati ya Mpenzi vs Mshabiki inabidi iwekwe bayana.
Sio kila timu unamfumo was mchango. Barcelona anao, Arsenal hana. Simba na Yanga wanao, Kagera Sugar hana.
 
Haji Manara ni mtoto wa Sunday Manara " Computer " Legendary wa Dar Es Salaam Young Africans of all the time.

Haji Manara kama mtoto wa Legendary wa Dar Young Africans ambae almost utoto wake wote amekua akimshuhudia baba yake kama Mchezaji wa kutegemewa wa Yanga, nilitegemea angekuwa shabiki wa Yanga but I am.surprised that imekuwa the opposite.

Ni sawa na mtoto wa Sheikh Mkuu wa mkoa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa.

Watu wengi tunao shabikia Simba na Yanga ni kwa sababu tumewakuta baba zetu wakishabikia timu hizo. Tumerithi kama dini vile.

Mimi ni shabiki wa Yanga kwa sababu nimezaliwa nikimkuta baba yangu ana shabikia Yanga.

Na mimi nikaanza kuipenda Yanga kwa sababu ya kumfuata baba.

Every member of our family is royal to Dar Young Africans.
We are royal to Yanga probably because we are loyal to our father.

Mwaka 97 nikiwa darasa la sita nikaanza kuishabikia Arsenal. I introduced Arsenal to my father soon there after and he started to support Arsenal instantly probably because he was reciprocating my royalty to him.

Back to Haji Manara . Unaweza kutolea maelezo hili? How comes baba ako alikuwa Legendary wa Yanga halafu umekuwa shabiki na msemaji wa Simba.

This is not royal bro.

Mimi niliipenda Yanga simply kwa sababu baba yangu alikuwa shabiki wa Yanga seuze wewe ambae baba yako alikuwa anaichezea kabisa Yanga!!!

Whats up bro?
Kwa mujibu wa Haji Manara mwenyewe, amelelewa na babu yake pia. Babu yake alikuwa Mwenyekiti wa Simba.

Ukiwa huyaelewi mapenzi na wasta (influence) ya babu kwa mjukuu anaemlea utakuwa mchawi.
 
Basi wewe unashida, sisi wengine tunachagua wenyewe kipi tukipende kipi tukiache. Mzee wangu hata sijui you team gani pamba au meko.

Ila mimi ni shabiki wa simba ninayetumia akili siyo wale lialia, kwenye ukweli yeye anabisha tu.

Hata mke nachagua mwenyewe!

Kwa kifupi mimi ni "team sipangiwi"
 
Mie father Yanga lialia. Ila mie Simba. Ilikuwa hivyo baada ya kukuta Simba inafanya vizuri sana 1992/1993.
Hivi unajua mmoja wapo ya watoto wa Beckham ni shabiki kindakindaki wa Arsenal wakati kamuona baba anakipiga Man U?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ..unajua Beckham kwao London..Manchester alienda kucheza mpira tu...probably child hood timu yake sio Manchester United...hivyo Becs ni Arsenal ndio maana mtoto kashindwa kujificha..Haji kacheza mpaka Yanga kids ni fursa za maisha tu...
 
Basi wewe unashida, sisi wengine tunachagua wenyewe kipi tukipende kipi tukiache. Mzee wangu hata sijui you team gani pamba au meko.

Ila mimi ni shabiki wa simba ninayetumia akili siyo wale lialia, kwenye ukweli yeye ananisha tu.

Hata mke nachagua mwenyewe!

Kwa kifupi mimi ni "team sipangiwi"
Baba ako hakuwa shabiki kindakindaki wa mpira ..angekuwa shabiki wa mpira haswa haswa lazima ungefuata timu yake tu...but kwakuwa hakuwa na interest yoyote na mpira obviously lazima ungefuata timu yake
 
Humfuatilii haji ndo maana umekuja kuandika upupu.kashaeleza mara kadhaa na baba yake kashaelezea.muwe mnaangalia hata interviews youtube kabla ya kuandika.
Haji Manara ni mtoto wa Sunday Manara " Computer " Legendary wa Dar Es Salaam Young Africans of all the time.

Haji Manara kama mtoto wa Legendary wa Dar Young Africans ambae almost utoto wake wote amekua akimshuhudia baba yake kama Mchezaji wa kutegemewa wa Yanga, nilitegemea angekuwa shabiki wa Yanga but I am.surprised that imekuwa the opposite.

Ni sawa na mtoto wa Sheikh Mkuu wa mkoa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa.

Watu wengi tunao shabikia Simba na Yanga ni kwa sababu tumewakuta baba zetu wakishabikia timu hizo. Tumerithi kama dini vile.

Mimi ni shabiki wa Yanga kwa sababu nimezaliwa nikimkuta baba yangu ana shabikia Yanga.

Na mimi nikaanza kuipenda Yanga kwa sababu ya kumfuata baba.

Every member of our family is royal to Dar Young Africans.
We are royal to Yanga probably because we are loyal to our father.

Mwaka 97 nikiwa darasa la sita nikaanza kuishabikia Arsenal. I introduced Arsenal to my father soon there after and he started to support Arsenal instantly probably because he was reciprocating my royalty to him.

Back to Haji Manara . Unaweza kutolea maelezo hili? How comes baba ako alikuwa Legendary wa Yanga halafu umekuwa shabiki na msemaji wa Simba.

This is not royal bro.

Mimi niliipenda Yanga simply kwa sababu baba yangu alikuwa shabiki wa Yanga seuze wewe ambae baba yako alikuwa anaichezea kabisa Yanga!!!

Whats up bro?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuwa mchezaji wa yanga hakumfanyia baba wa haji kuwa yanga kun aguero ni shabiki kidaki wa liverpool lakin hiyo haimfanyi asiifungie mancity ili liverpool awe bingwa!!unaweza kukuta haji babake amekua shabiki wa wa yanga kwasababu kachezea yanga tu...
 
At least I under
Kwa mujibu wa Haji Manara mwenyewe, amelelewa na babu yake pia. Babu yake alikuwa Mwenyekiti wa Simba.

Ukiwa huyaelewi mapenzi na wasta (influence) ya babu kwa mjukuu anaemlea utakuwa mchawi.
At least I understand now kumbe alilelewa na babu? I was so confused . Thanx for unconfusiding me
 
Haji Manara ni mtoto wa Sunday Manara " Computer " Legendary wa Dar Es Salaam Young Africans of all the time.

Haji Manara kama mtoto wa Legendary wa Dar Young Africans ambae almost utoto wake wote amekua akimshuhudia baba yake kama Mchezaji wa kutegemewa wa Yanga, nilitegemea angekuwa shabiki wa Yanga but I am.surprised that imekuwa the opposite.

Ni sawa na mtoto wa Sheikh Mkuu wa mkoa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa.

Watu wengi tunao shabikia Simba na Yanga ni kwa sababu tumewakuta baba zetu wakishabikia timu hizo. Tumerithi kama dini vile.

Mimi ni shabiki wa Yanga kwa sababu nimezaliwa nikimkuta baba yangu ana shabikia Yanga.

Na mimi nikaanza kuipenda Yanga kwa sababu ya kumfuata baba.

Every member of our family is royal to Dar Young Africans.
We are royal to Yanga probably because we are loyal to our father.

Mwaka 97 nikiwa darasa la sita nikaanza kuishabikia Arsenal. I introduced Arsenal to my father soon there after and he started to support Arsenal instantly probably because he was reciprocating my royalty to him.

Back to Haji Manara . Unaweza kutolea maelezo hili? How comes baba ako alikuwa Legendary wa Yanga halafu umekuwa shabiki na msemaji wa Simba.

This is not royal bro.

Mimi niliipenda Yanga simply kwa sababu baba yangu alikuwa shabiki wa Yanga seuze wewe ambae baba yako alikuwa anaichezea kabisa Yanga!!!

Whats up bro?
Kwani baba au mama yako akiwa Mwizi na mtoto lazima awe hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom