Bado player bora kwangu muda wote ni hii ya Sony music

Wa ukae, Inakuwa na uwezo wa kukata kipande cha/sehemu katika wimbo wa muziki unaosikiliza na kurudia kucheza sehemu hiyo tu. Mfano labda kipande Cha dakika ya 1:30 mpaka dk2:30) au unaweza kurudia/kukata sehemu ya chorus na ikajirudia kucheza sehemu hiyo tu
Naiona kwenye Jet hapa
 
Ooooh owkay kwa lugha nyingine tunaweza tukasema ina loop sehemu unayoitaka au nitakuwa nimekosea kiongozi...?
 
Sema mm sinaga bahati ya kupata earphone nzuri.. Ebu naomba recommendation yako pamoja na bei ya earphone nzuri
Natumia hyo
Screenshot_20210608-131237_AliExpress.jpg
 
Back
Top Bottom