Natafuta kazi kama mwalimu wa literature in english na history

Kulima heka shamba jipya sh. ngapi, kufyeja heka sh ngapi,kupanda mahindi heka sh.ngapi,kupalilia heka mahindi sh. ngapi. Kuchba mashimo ya parachichi sh ngapi?
Nasubiri jibu la hayo maswali,hasa kufyeka shamba na kuchimba mashimo ya parachichi naweza kuwapa kazi
 
Habari! Samahani nilikuwa sijibu maswali sababu ya Kuwa sehemu isiyo na network.

(1) kikundi chetu kipo njombe,mbeya,songwe na iringa. Tunafanya kazi zote za shambani.
Bei jamani zinategemea na kazi yenyewe ipoje. Kunabaadhi ya kazi kuelewana bei mpaka tuione lakini kurahisha zaidi, kama unakazi unatuambia kazi yako ni kazi gani afu tunakuambia bei, lkn kama zile kazi zinazotegemea mazingira mfano kupalilia, kufyeka, au kulima inategemea jee poli lipoje au ardhi ya Mkulima ipoje,. Ukiwa na kazi unaisema na kutaja bei mnazotumia huko uliko wewe,, Mimi nafanya tafiti fasta tu afu tunakubaliana.

Hii inarahisha maana kuna kazi hatujawahifanya mfano kukusanya korosho lazima utuambie na bei yako wewe tukihakiki tunafanya. Ila kujibu zote huku jf ni ngumu.

(2) pia tunasafiri mikoa mingine kukiwa na kazi, japo sharti lazima kazi yenyewe iwe kubwa kidg ili tusipate hasara ya nauli, mfano hatuwez kutoka iringa kwenda Tanga kufanya kazi ya heka mbili au tatu hapo hapana jamani angalau basi hekari 50-----. Shida hapa hatujatanuka nchi nzima kusema tutatumia vijana Wa Karbu, ikiwa eneo dogo na upo mbali na tulipo tafuta watu wa jirani kupunguza gharama.

(3) tunasimamia pia mashamba ya wawekezaji walio mbali na miradi yao kwa mkataba maalumu. Yaani hapa lazima kuwe na maandishi ya makabiziano ya mradi na majukumu.

Pia hapa ushauri unatolewa kwa mkulima bureeee, maana tuna wataalam kutoka olivado na Tanzania horticulture association (TAHA), makampuni haya yanamatawi yao huku kusini

(4) malipo ya kazi hupitia, bank tuna akaunt NMB, tigopesa,mpesa na halopesa au keshi yote sawa.

Mawasiliano;

Email; wilsonmwamakalapya@gmail.com

What's up: 0767361063

Simu- 0767361063/ 0624227376


NB: NI RAHISI ZAIDI UKITUMA SMS YAKAWAIDA NAMIMI NITAKUTAFUTA, HATA KAMA SIPATIKANI WE TUMA NTAKUTAFUTA MDA MWINGI NIPO SHAMBANI. AU UKIULIZA SWALI HUKU JF BASI VUMULIA KIDG MAANA KUJIBU HARAKA NGUMU SABABU NETWORK.

AHSANTEN.
 
TANGAZO
pamoja na kazi zinazoendelea, tumeanza kupokea oda za kazi kwa msimu ujao. Lengo ni kurahisisha mpangilio wa kazi kwa vijana. Hii ni kutokana na wakati mvua zikianza watu huleta kazi nyingi kwa pamoja na kusabisha ratiba kuchelewa.

Pia katika kazi zote tunajitegemea chakula na maturubai hivyo kila bei tunaungabisha na chakula.kama hakuna nyumba tunajenga mahema wenyewe. Kwa alie na kazi mawasiliano yapo juu.
 
Mumejua kujiongeza mzee, hongereni sana.
With tears lakini!!
Sio njia ya kawaida kwa nchi yenye uchumi wa Kati , watu wanakosa means ndio maana vitu Kama hivi vinakuwepo.

Usije shangaa kwenye kundi Hilo na graduates wapo.
Sera za kumkomboa kijana zina hitajika sana Sasa kuliko wakati mwingine wowote , watu wamekata tamaa
 
Kwasasa NJOMBE Kazi inaende liwengi na lupembe, walio karbu na hayo maeneo tuwasiliane
 

Attachments

  • IMG_20200907_130018.jpg
    IMG_20200907_130018.jpg
    121.1 KB · Views: 1
  • IMG_20200907_130008.jpg
    IMG_20200907_130008.jpg
    125.6 KB · Views: 1
  • IMG_20200907_125619.jpg
    IMG_20200907_125619.jpg
    122.8 KB · Views: 1
  • IMG_20200907_125604.jpg
    IMG_20200907_125604.jpg
    89.3 KB · Views: 1
  • IMG_20200907_125554.jpg
    IMG_20200907_125554.jpg
    81.3 KB · Views: 1
  • IMG_20200907_125221.jpg
    IMG_20200907_125221.jpg
    160.4 KB · Views: 1
Niliwahi kupost kuhusu kuwa na kikundi Cha VIBARUA MASHAMBANI, Sasa nafanya na usimamizi pia kwa mikoa ya Lindi, Njombe, mbeya, iringa,Ruvuma na Songwe tu,
- mazao ya parachichi, ufuta, mpunga, mahindi, tangawizi, viazi mviringo na korosho
-huduma ya VIBARUA mashambani pia ipo tunafanya kazi zote za kutumia nguvu.

Ukiwa nje ya nchi au ndani ya nchi tutafute tufanye kazi, kwa utaratibu mzuuri tu.


Mawasiliano:
Whatsup- +255767361063
Simu: 0621563524/0628171215
Email: wilsonmwamakalapya@gmail.com

Mda mwingi nakuwa shamba Kama hatupatikani tuma sms
 
Niliwahi kupost kuhusu kuwa na kikundi Cha VIBARUA MASHAMBANI, Sasa nafanya na usimamizi pia kwa mikoa ya Lindi, Njombe, mbeya, iringa,Ruvuma na Songwe tu,
- mazao ya parachichi, ufuta, mpunga, mahindi, tangawizi, viazi mviringo na korosho
-huduma ya VIBARUA mashambani pia ipo tunafanya kazi zote za kutumia nguvu.

Ukiwa nje ya nchi au ndani ya nchi tutafute tufanye kazi, kwa utaratibu mzuuri tu.


Mawasiliano:
Whatsup- +255767361063
Simu: 0621563524/0628171215
Email: wilsonmwamakalapya@gmail.com

Mda mwingi nakuwa shamba Kama hatupatikani tuma sms
Ulizingua sana we jamaaa, ulinipotezea muda kunipa ahadi hewa.
Huna uwezo usipotezee watu muda.
 
Ulizingua sana we jamaaa, ulinipotezea muda kunipa ahadi hewa.
Huna uwezo usipotezee watu muda.
Boss usitumie hasira, Kuna mda natingwa. Nakumbuka ulisema una heka moja. Kiukweli siwezi kusafiri kwaajili ya heka moja iliyo umbali. Nafanya kazi na vijana ambao wanategemea faida, usilazimishe nifanye kazi yako Kama inanifanya nitumie gharama kubwa
 
Back
Top Bottom