Bado ni kitendawili waliofaidi mabilioni ya Justine Kasusura

Haaaah Haaaah Haaaah! Umeanza lini kuwa muoga muoga? Sijakuzoea hivo!
Kasusura alikamatwa na mzigo wa kutosha, akapelekwa kote alikokuwa kahifadhi mzigo, washkaji wakatembea nao kwa maelekezo maalum
Wale wote waliofykuzwa kazi bila kushtakiwa inasemekana walipata mgao wa kutosha sana

Kuna mmoja mtani wangu.. Au basimdomo koma!
 
Ningeandika njia kuu 6 za kutoroka nje ya nchi bila kujulikana kamwe ila sitaki kuzifichua hizo chimbo. hata wale watu wa kubwia huwa wanapitisha huko

Alipaswa kwanza atulie mpka Heat ipungue then, Angeondoka nchini kirahisi kabisa, sema kwasababu alikuwa mjinga sana kiasi cha kununua malaya na kunywa pombe hovyohovyo mpka akajulikana.


Yani hata angenunua nyumba kupitia mtu mwingine akafukua karo la choo kwa pembeni, halafu akazizika kwenye boksi la mbao. na nyumba akapangisha watu wasiojua chchte akasepa nje ya nchi.

Angerudi aka fanya plea bargain, akalipa million 800 hiyo 1B akaendelea nayo
Kumbuka noti za dollar zinabadilishwaga kila baada ya muda flani.

Hata Tsh ya kipindi hiko ilikuaga blue.

Usije kuta umefukia makaratasi.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wizi wa kijinga na ulikuwa unplanned kbs

Navyojua Wizi wa aina hiyo unatakiw utekezwe kwa akili sana.

Mie ningependekeza False Accident + attacks (Kuvamiwa) na kisha kujishoot kidg hata kwenye mguu..

Wadau wakiondoka na mkwanja mie nabaki au na mimi wanichukue kama Mateka.

Kiuhalisia ni tupo pamoja.

Taarifa zitumwe baada ya masaa kadhaa huko. Na kudemand hela zaidi kwa kushikiria mateka (Mind games).

Deal Done

Ishu ni kwamba matumiz ya hizo hela ni baada ya miaka kadhaa kwa kuzitakatisha kwa vibiashara vidgo dogo..
 
Kuna siku nimewahi kua part wa msafara wa kusindikiza pesa za kitanzania kama m400 kuna shetani alikua ananiingia bas tu .

Ila pale NMB tawi la bandarini watu wanatoa pesa nyingi ni hatari
 
Mimi ningezificha, then ningewaacha cops wanikamate,nipambane mahakamani.
Ange change hata dola 100,000/ tu za kupambana mahakamani na kuwanunua askari magereza niishi kifalme.
Nawafahamu watu kadhaa wapo ndani ila hats msosi wa jela hawaujui.
Mi ningejipeleka polisi na mawakili watatu matata sana was kipindi kile.. Mabere marando, Magafu majura na Masumbuko Lamwai.. mbona ingeisha tu bila hata kupigwa
 
Nilikuwa namsikia jamaa huyo,Ila alivotoka jela kwa msamaha wa Rais amekuwa bonge.
Tunaishi nae hapa Mjini kwetu,Hanaga mbwembe hata kidogo jamaa.

Yupo normal,Kama mkwanja anao,basi nidhamu aliyonayo anastahili kuimiliki.
Tupo Kagera wilaya flani hivi.

Ila mtoa Uzi,acha umbea basi.
Mbona hamzungumzii trillion 1.5

Acha umbea,naruadia Tena,mwambie MSIBA,Akaripe hell ya marehem Membe,asidhani kuwaimepita.

Labda wamuuwe na Mwabassheria wake pia,japo bado haitatosha.....
 
Aligundulika Police station baada ya wanawake wawili kumgombea na kupelekana polisi, ndipo police mmoja akamwangalia na kuhisi ni Kasusura.
Mara nyingi hutokea mtu kwenye chain yako ambaye hufanya ujinga kwa kujua au kutokujua na ndio hugharimu.

Kama yule mwenye bus zilizokuwa zinatoka Arusha Kuja Dar huku ikipakia mirungi na abiria wa kuzugia.

Kondakta kaona mpunga anaowaachia Matra.. Mkubwa, kamchomesha, kafukuzwa kazi.

Matira wenzake wakamaindi, boss kadakwa ndani.
 
Back
Top Bottom