Bado natafuta shamba ruvu

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
371
Wa kulima wenzangu mlionitangulia salamu kwenu....
Bado natafuta shamba Ruvu niliandika Uzi huu siku Fulani lkn si kupata mafanikio maisha magumu jamani nimeona nivumilie kwenye kilimo tuu
Namba mwenye ufahamu wa kunisaidia kupata shamba Ruvu
Ni PM
 
Back
Top Bottom